Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

Kwahiyo Janabi hapo alipo anajiona kijana? Eti wote ndio tunaelekea huko kwenye uzee 😀😀

BTW Janabi nilikuwa namuona mjanja kumbe nae anavaa hayo mapete ya Kiswahili? He is cancelled.
Dada,
Unakuta mtu ameyavaa kama sita hivi, kuna za bahati, mara kufukuza majini, mara za kuita majini mazuri n.k 🤣

Ushamba tu
 
Na hapa ndipo tunapokosea,
Msomi mshauri anayetoa elimu kwa uzoefu wake tena bila gharama.
Vyema kuchukua hatua sasa kuliko kusubiri udhaifu ukuvae
 
Mbona yeye kazeeka sasa
 
Janabi anaeleweka vizuri kwa watu wa high class life, watu choka mbaya life hawatamuelewa kwa sababu vitu hivyo/vyakula hivyo huvipata kwa bahati/nadra sana, na wakivipata huvifakamia kwa kuvila wakidhani hawatavipata tena kwa muda wote
 
Kudadeki nime google hatua efu 10 kwa kukadiria ni sawa na kilomita 8...

Hapo bora utafute dakika 20 uzunguke uwanja wa mpira angalau mara tatu kwa wiki
Mimi nina wastani wa kukimbia km 4-5 kwa wiki mara 3. Kwa maana hiyo inabidi niongeze km 4 halafu kwa wastani iwe mara 4. Hebu mgoja nione kesho asubuhi J3 nitaamkaje
 
Ushauri ni bure, ni kuamua kuufuata ama kuuacha... Yeye hajakulazimisha uishi namna yeye anataka
 
Sema mtu asipokunywa pombe anakuwa na karoho kabaya kamejikunja muda wote korosho ikasome
Sasa hawe na roho mbaya kwenye afya yako... Yeye ukute hata hakujui, yeye katoa ushauri kitaalamu... Wewe unaleta porojo za ulevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…