Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Dada,Kwahiyo Janabi hapo alipo anajiona kijana? Eti wote ndio tunaelekea huko kwenye uzee 😀😀
BTW Janabi nilikuwa namuona mjanja kumbe nae anavaa hayo mapete ya Kiswahili? He is cancelled.
Unakuta mtu ameyavaa kama sita hivi, kuna za bahati, mara kufukuza majini, mara za kuita majini mazuri n.k 🤣
Ushamba tu