View attachment 2916580
Picha ya juu.
Muonekano wa prof. Janabi wakati anakula milo zaidi ya 3 kwa siku.
Picha ya chini.
Muonekano wa prof. Janabi akiwa anakula mlo mmoja tu kwa siku.
Maoni yangu.
Kabla ya kuufuata ushauri wa prof. Janabi tuanze kufuatilia mwenendo wa afya ya mwili wake kwanza. Binafsi namuona kama anafhoofu kila uchwao.
Chakula ni kama mafuta kwenye gari, huwezi kuendelea kuliendesha kama huliongezei mafuta kulingana na km linazotembea
Sasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.
Mwisho, prof. Janabi ni bingwa wa magonjwa ya moyo, huku kwenye nutrition anatafuta nn?