Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Huo ushauri autoao hautokani na utafiti wowote aliofanya. Yeye anabwabwaja tu kama waganga wa kienyeji.

Yeye anatofauti gani na mganga wa kienyeji?
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
 
Sasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.
Sio kweli

Shida inategemea unakula nini ingawaji ni kweli kula ni muhimu Ila sio kwamba ukila mlo mmoja utaanguka
 
Angevumbua dawa ningemuona wa maana sana
Ila yeye kutwa kuongelea chakula tu
Inaonyesha ana depression na anatumwagia sisi

Tunataka chanjo ya Mbu mambo ya ugali awaachoe mama ntilie
Kwanza yeye ni bingwa magonjwa ya moyo huku kweye masuala ya nutrition anatafuta nini?
 
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Hivi kebehi Maana yake nini?.Huyu kwani amemkebehi?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Naona watu wenye vitambi na vibonge wameungana kumsakama Janabi......hii inaonyesha kuwa spana zinawaingia.......anawaambia kile msichotaka kukisikia........

Kupaparika kwa maharage ndio kuiva kwake.......
 
View attachment 2916580
Picha ya juu.
Muonekano wa prof. Janabi wakati anakula milo zaidi ya 3 kwa siku.
Picha ya chini.
Muonekano wa prof. Janabi akiwa anakula mlo mmoja tu kwa siku.

Maoni yangu.
Kabla ya kuufuata ushauri wa prof. Janabi tuanze kufuatilia mwenendo wa afya ya mwili wake kwanza. Binafsi namuona kama anafhoofu kila uchwao.

Chakula ni kama mafuta kwenye gari, huwezi kuendelea kuliendesha kama huliongezei mafuta kulingana na km linazotembea

Sasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.

Mwisho, prof. Janabi ni bingwa wa magonjwa ya moyo, huku kwenye nutrition anatafuta nn?
Ajikite zaidi kwenye uongozi wa MNH.
Sasa ameanza siasa!
 
Ushauri wa Janabi ungekuwa bora sana kama maisha yangekuwa ni milele.
Unahangaika na kujinyima ili usipate sukari na presha kumbe kifo chako kitakuwa cha ajali!!
 
Mimi kama mtiifu wa ushauri na maelekezo ya Janabi juu ya afya bora, nasema mwacheni.
Sisi wengine anatufaa kwa ‘motivesheni’ anazotupatia.

Huwezi kumkubali Janabi kama una kitambi mpakato.
Tumbo tumbo wanasumbua sana.

Mtu akidondosha kalamu hawezi kuiokota😃
 
Ushauri wa Janabi ungekuwa bora sana kama maisha yangekuwa ni milele.
Unahangaika na kujinyima ili usipate sukari na presha kumbe kifo chako kitakuwa cha ajali!!
Umejikatia tamaa siyo!
 
Prof janabi ukitaka kumuelewa unabidi uwe na ufahamu mzuri

Ukienda YouTube kwenye channel ya muhimbili anafundisha kwa kufata mtiririko mzuri Sana .

So the guy is smart and brilliant

Afya za watu zimeyumba kwa mtindo wa maisha
 
Huu ni daktari Bingham lkn kuna vitu sio vya kusikiliza maana anaweza kusema kunyoa mavuzi sio jambo jema ki afya
Na hapo umegonga 'bull". Mavuzi ni kinga ya mlango wa kuingia sehemu husika. Si vizuri kuondoa askari hao. Hili nalo ni somo lifatalo stay turned
 
Hivi mtu anaye fanya kazi za ujenzi na za shambani unaweza ukamshauri ale mara moja kwa siku?
Dr Janabi hajashauri hivyo, usisikilize porojo za wazushi humu. Alisema kama kazi yako ni kukaa tu ofisini usile sana itakuletea shida ya magonjwa yasiyo ambukizwa, ila kama unafanya kazi ngumu kula
 
Yuko sawa mi napiga milo miwili tu kwa siku na niko fresh
Ni jambo la kawaida sana siyo kitu cha kumshangaa janabi hadi ionekane haiwezekani
 
Wanawake ndiyo huwa wahanga wa kila mafundisho bila kujali yana tija au upotoshaji.

Ndodi aliwachota miaka ile na hiki anakifanya Janabi kuna watakaokurupuka kubadili ratiba ya milo nakuishia kwenye changamoto zingine.

Hii ni Shakahola nyingine inatengenezwa taratibu.
 
Back
Top Bottom