Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Mbona una jaziba wewe?!, kwani yeye kuwa na familia au kuwa kiongozi ina umhimu gn kwenye hizo hoja zake? , tuache kujadili hoja zake kws sababu ni kiongozi na anafamilia!?,huo ujinga wako peleka huko kwa wajinga wenzio.
 
Mtu ni kile anachokula.

Ukila hovyo unanenepa hovyo.

Kuna watu wanakula mithili ya *nguruwe; na hawa ndiyo Janabi anawananga.
Unaweza kukuta mtu kama mzee Warioba anakula kuliko John Komba (RIP), lkn vinasaba vya mzee Warioba vinataka awe mwembamba.
 
Niliposoma neno PICHA nikaja mbiombio nikafikiri ni ile picha nyingine ya chini. Mtoa mada weka picha.
 
Tatizo letu ngozi nyeusi kitu akisema Ngozi nyeupe hakuna kuhoji tunakubali haraka sana, ila akisema mweusi mwenzetu ni tatizo.
Ingia youtube angalia hizi mambo za intermittent fasting zimejadiliwa na kuwa recommended na madaktari wakubwa tu duniani.
Anachokisema Dr Janabi sio kipya mazwazwa mjielimishe kabla ya kupinga kitu.
 
Umesahau kuwa hata hapa JamiiForums Wendawazimu pia wapo na wamejazana tele tu? Hao wote Wanaomkebehi Profesa Janabi ni mfano Wao.
Janabi tokea kifo cha jiwe na ona kama akili haipo vzr kbs,juzi nimefika ofsini kwake mpk nikashangaa,huo ulinzi woote ni kwa sababu ya nn?!. Ana hofu na nini?!, mie ninamwona kama vile hayupo vzr kbs kichwani.
 
Usituseme wote Jibu wengine sisi sio Mapimbi bhana tunaheshimu taaluma za watu bhana...
 
kwani gari unaliweka mafuta full tank kila yakipungua? Kula mlo mmoja upunguze huo unene, umeambiwa ukila mlo mmoja hutakufa.
 
Prof janabi ukitaka kumuelewa unabidi uwe na ufahamu mzuri

Ukienda YouTube kwenye channel ya muhimbili anafundisha kwa kufata mtiririko mzuri Sana .

So the guy is smart and brilliant

Afya za watu zimeyumba kwa mtindo wa maisha
Bora sahv ajikalie kimya tu
Maana wabongo ni watu much know,
Ping-pinga
Aache tu watu wajilie watakavyo wao
Shauri zao

Ova
 
Eti baba level nayo huko anampinga
Janabi,alafu wabongo wanakuambia
Baba level you are so smart kuliko janabi
[emoji1]

Ova
 
Kwa uchache tu.

Google neno "Atherosclerosis" ndio utajua Prof Janabi ni nani
 
Kwa uchache tu.

Google neno "Atherosclerosis" ndio utajua Prof Janabi ni nani
Kuna visababishi vingi sana vya atherosclerosis, kwann yeye kakomalia msosi tu? After all yeye siyo nutritionist.

 
Unaweza kukuta mtu kama mzee Warioba anakula kuliko John Komba (RIP), lkn vinasaba vya mzee Warioba vinataka awe mwembamba.
Kwa hiyo hivyo vinasaba ndivyo alivyonavyo Janabi?
 
Na Bia moja inywewe kwa Muda wa lisaa limoja.
Na sio dakika Kumi Bia Tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kula siyo tatizo ,inatakia ule proportional ,unaweza kula mara mbili lakini ni Heavy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…