Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Upo sahihi dr. Anatafuta kiki na anapenda kutrend kama vijana wengi wa hovyo. Anafanya siasa katika udaktari. Bwege sana huyu.
Akili zake ni group la kina Manara, Makonda, Mwijaku, Baba Levo na wajinga wengine wa aina hiyo wanatrend kwa hoja zisizo na Maana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Janabi tokea kifo cha jiwe na ona kama akili haipo vzr kbs,juzi nimefika ofsini kwake mpk nikashangaa,huo ulinzi woote ni kwa sababu ya nn?!. Ana hofu na nini?!, mie ninamwona kama vile hayupo vzr kbs kichwani.
Kwa lugha iliyo nyepesi hapa unataka labda Kutulazimisha tuamini nini / kipi Sisi wana JamiiForums?
 
Kwani yeye ndio kagundua "atherosclerosis "?...
Hana issue yoyote ya maana ...
Huo ni ugonjwa ambao unatokana na mrundikano wa mafuta kwenye mishipa damu.

Prof anashauri namna bora ya kula ili uepukane na hayo mafuta.

Mishipa ya moyo ikiziba kutoakana na mafuta, ndipo unapata hilo tatizo.

Sasa unawezaje kumbeza mtaalamu wa magonjwa ya moyo, akizungumzia ishu ya lishe?

Nilisema ugoogle ili uutambue huo ugonjwa na ukonekti dots na ushauri wa Prof.
 
Kuna visababishi vingi sana vya atherosclerosis, kwann yeye kakomalia msosi tu? After all yeye siyo nutritionist.

View attachment 2916798
Sasa unataka mtu ambaye kabobea kwenye hayo mambo ya Moyo asikuambie visababishi kisa hivyo visababishi vina wataalamu wake wengine?

Kwa hiyo unataka Nutritionist akitaka kukuambia kuhusu ishu za Moyo utamwambia tena aache shobo kazi yake sio hiyo?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Awareness ya food diet imeanzia huko first world amabapo diabetes na blood pressure zinawasumbua vibaya sana hadi leo hii ulishasikia madaktari huko wanashangilia uhaba wa sukari kwamba ati utapunguza wagonjwa wa kisukari?
Janabi anaweza kuwa sahihi kwa mambo fulani ila anaongeza sana chumvi na kuleta taharuki
 
Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Ukila huo mlo halafu unaenda kugombea mabasi ya Mbagala.
 
Dr Janabi hajashauri hivyo, usisikilize porojo za wazushi humu. Alisema kama kazi yako ni kukaa tu ofisini usile sana itakuletea shida ya magonjwa yasiyo ambukizwa, ila kama unafanya kazi ngumu kula
Nisawa ila kakosea mahali pakutolea ushauri. Kwasababu wasikizaji wengi wa vyombo vya Habari wengi ni wa kulima na wanyakazi za mikono. Hivyo ushauri unao tolewa kwenye vyombo vya Habari unatakiwa ilenge walio wengi. Ushauri wake ungefaa Sana kwenye seminars za directors na CEOs.
 
Doctor wa mchongo. Yeye ni mtaalamu wa Figo na sio lishe. Aache kutudanganya huyu mzee
 
Nyie wataalamu mnatuchanganya mara ukikaa na njaa muda mrefu unaweza ukapata maradhi mara ukila mara kwa mara pia tunapata maradhi!!??!?!? niwaombe mtuache sisi tutakula tutakula tutakavyo na tupo pamoja mpaka uzeeni uko mbele mbele.....!
Hiki kiswahili gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…