AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Akili zake ni group la kina Manara, Makonda, Mwijaku, Baba Levo na wajinga wengine wa aina hiyo wanatrend kwa hoja zisizo na Maana.Upo sahihi dr. Anatafuta kiki na anapenda kutrend kama vijana wengi wa hovyo. Anafanya siasa katika udaktari. Bwege sana huyu.