Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Huyu amewahi dakwa na kamera akikandamiza pilau sawasawa na machapati ila akieda kwa media anahamasisha kutokula
 
Ona mwili wake ulivojikunja.

Kuleni vijana, huyo ni doctor labda anatumia supplements pia ambazo hawezi zisema hapo kwa sababu kadhaa. Kuna wanajeshi wao mlo wao ni kidonge (supplement tu)

Nareport kutoka shishi food hapa nasubiri mlo wa nne uletwe
 
Huwa siwaamini watu kama hawa , kuna jamaa anaitwa Dr Mkumbo na yeye ana mwili kama kagame yaani mwili umemkataa ,wao kwakuwa miili imewakataa hata wale vipi basi wanatumia loophole ya mwili kuwakataa kutoa mafunzo ya lishe.

Usiamini sana vitu vya kwenye mitandao........Hata Bagdhad Godfrey Kweka(Kamba to kamba-Mexicana Lacavela) alikuwa Bonge alikuja kukonda kwasababu Sugar ilimpiga na si diet ,ona Msechu pamoja na kuweka Puto lakini bado mwili upo....Hawa wanaotangaza sijui nilifanya hivi nikapungua ni waongo kuna vitu zaidi ya hivyo wanavyotangaza walifanya wakapungua ,wanatumia hiyo loophole kuwapiga mazwazwa.
 
Huyu mzee kuna vitu anatupotosha sana binafsi simtilii maanani tangu alipotoa kauli sukari si muhimu
๐—ก๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—น๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ,, ๐—ท๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚ ๐—ด๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐˜๐˜‚ ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ฐ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ, ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜„๐—ผ๐˜„๐—ผ๐˜๐—ฒ.
 
Kuna mambo mengine hutokea kwa sababu ya umaskini. Umaskini ni mbaya sana. Ukiwa maskini huwezi kupangilia mlo wako kwa sababu kwanza kazi unazofanya zinahitaji ule sana na vyakula unavyopata siyo vya kuchagua bali ni vile unavyobahatika kuvipata. Tatizo kubwa ni kuwa mtu anatoa ushauri kwa ku-base maisha anayoishi yeye na siyo hali halisi ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ