Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Mbona bado upara na makunyanzi yapo?
 
Mkuu sukari ina umuhimu wake tusidanganyane ila tuambie tuwe na kiasi sukari is more than tea tuna matumizi nayo mengi
Sukari siyo chai tu, hili ni kweli. Halafu tatizo la kula sukari nyingi kwa Tanzanaia siyo kubwa sana na vijijini pengine hawapati sukari ya kutosha. Sikatai mafundisho ya kuwaambia watu watumie sukari kwa kiasi, lakini amefanya bad timing kwa kuhalalisha uzembe wa serikali kuwa uzuri.
 
Huyu naye aache kueleza maisha ya kitabuni ambayo watanzania wengi hawayajui.Watu wanatafuta kazi na malipo ni mlo huohuo.Au inapita siku hajala kitu.Anapopata chochote wakati wowote ndipo hula.Aache kuchota upepo kwa kijiko.
 
Rapper Baghdad kumbe alipungua kwasababu ya diabetes?

Mustafa Hassanali miaka mingi iliyopita kuna wakati alipungua lakini baadaye akarejea kwenye unene.

Marehemu Lemutuz pia alipungua lakini kwasababu ya maradhi.
 
Rapper Baghdad kumbe alipungua kwasababu ya diabetes?

Mustafa Hassanali miaka mingi iliyopita kuna wakati alipungua lakini baadaye akarejea kwenye unene.

Marehemu Lemutuz pia alipungua lakini kwasababu ya maradhi.

Yes Baghdad Sugar ilimpitia ,alisema alikuwa kwa siku anapiga hadi soda 15.

Hasanali alipungua kwasababu aifanya section alipigwa kisu South Africa.

Yes Boma Ye alipungua coz ya kuumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…