Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

🤣🤣 mkuu unazijua pasi ndefu? Goal mpaka goal mchana bila bila halafu umwambie mtu usiku ale kidogo
 
Mimi kuna siku nilisema nifuate huo ushauri wa kula matunda usiku nikanunua matunda mengi ya wiki nzima. Cha kushangaza niliyamaliza siku hiyohiyo niliyonunua. Nikaachana na huo mpango.
 
Swali: HATOKUFA?
 
Hapa anaongelea wenye vipato vya uhakika wewe enndelea kula tu kila kinapopatikana
na ndiyo target yake, hao wengine wa dona bamia tena mara moja siku nzima, siku wakikutana na misosi lukuki kama ile ya bufee wafakamie tu wale tani yao kila hot pot wapakuliwe hata sahani mbili zilizojaa
 
Ulaji mbaya pia unajaza choo, unakuta mtu anashusha kilo mbili chooni kisa tu alikula chakula kingi, choo kitaachaje kujaa haraka? Nidhamu ya kula haipo, kwenye sherehe pale bufee mtu anachukua kila chakula na kujaza sahani na atarudia tena. Aibu hana anafika mpaka mwisho wa bufee zenye msururu mrefu wa vyakula vingi. Ulaji wa aibu sana unaibisha mabosi wa kazini kwako wataona una njaa kali na huwa huli vyakula hivyo unafakamia tu
 
sasa yeye ameshazeeka, sisi wenzake usipokula na jioni una mzigo wa kumtwanga waifu hadi aridhike, si utaaibika sasa, kweli nile mara mbili na nimlale mke wangu nimridhishe kabisa kabisa? yeye kazeeka ale mara mbili mimi nakula mara tatu kwasababu ipo sehemu naenda kutumia icho chakula. chakula pia ni muhimu mwilini, usipokula ukakosa virutubisho siku ukiugua kinga inakuwa ndogo sana, unaweza kuondoka. huyu prof kama ametumwa aisee. tangu tuzaliwe madaktari wenzake duniani kote mbona hawanaga vimbwanga kama vya kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…