Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Safi hii inatakiwa iwe scale ya taifa zima isipokua watoto wadogo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.

Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.

Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Asijali Ramadhan inakuja mwezi wa tatu, tutakula mara mbili kwa siku
 
Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Akienda bar Hali kongoro au hata kamshkaki?
 
Ukienda Muhimbili ukipimwa,ukute unakimbizwa ICU.
Ulishasikia mtu kaanguka kafa ghafla?
Tufuate ushauri wa madaktari,fusil ate tamaa.
Baadhi yetu tunaenda hospitalini tukiwa hatua za mwisho kabisa,mtu anajiona yupo njema,kumbe ndani alishaisha.
Asante mkuu kwa ushauri
Ila nipo nchi inayojali Raia
Ukivuka 50 tu unaanza kutumiwa email au simu ukapime hiki na kile
Na ukivuka 60 ndio kila wakati wao (serikali) ndio wajibu wao kutuangalia
Nimepimwa kila kitu na kila wakati wakinipa appointment huwa sichezei na silipi kitu ni bure

Sina hata kikohoo mkuu nashukuru Mungu
Wamepima mpaka cancer, tezi dume, kisukari, BP nk niko fit na ninafuatilia afya yangu kwa ukaribu

Ni kama mashine lazima ufanye services kila wakati
Na mimi nimevuka 60 tayari
 
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.

Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.

Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Mbona hana siha Njema?
 
Hata mapadre husema msizini lakini wao wanaongoza kwa vimada na mahawara mitaani. Janabi ni muongo ukitazama balanced diet haiko anavyoshauri. Halafu kiukweli kwa afya yake anaonekana tu ana kansa au ukimwi. Zaidi ya kukaa ofisini hana anachoweza mfano kumridhisha mke kwa kula tango na maji. Huwa namuona mjinga sababu kufa atakufa tu tena muda sio mrefu.
 
Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Alaf hapo umpe kazi ya kumwaga zege uone kama ataweza
 
Asante mkuu kwa ushauri
Ila nipo nchi inayojali Raia
Ukivuka 50 tu unaanza kutumiwa email au simu ukapime hiki na kile
Na ukivuka 60 ndio kila wakati wao (serikali) ndio wajibu wao kutuangalia
Nimepimwa kila kitu na kila wakati wakinipa appointment huwa sichezei na silipi kitu ni bure

Sina hata kikohoo mkuu nashukuru Mungu
Wamepima mpaka cancer, tezi dume, kisukari, BP nk niko fit na ninafuatilia afya yangu kwa ukaribu

Ni kama mashine lazima ufanye services kila wakati
Na mimi nimevuka 60 tayari
Safi sana na hongera kuwa kwenye nchi hiyo.
 
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.

Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.

Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Mh
 
Kwahio yeye kula mara mbili anafikiri mimi mbeba magunia sokoni ilala naweza kula mara mbili? Si nitaamkq usiku na njaa kama watu wanafagia tumboni na panga?
Kula inategemea na aina ya kazi,umri na vitu vingine. Binadamu wote hatuwezi kuwa kama yeye.
Kwanza yeye ana uwezo wa kupanga ale nini kila siku harafu anataka ambae hana uhakika wa chakula nae ale kwa kuruka ruka hawa jamaa sijui wana shida gani ina maana hawana hata ndugu walio na life ya kawaida wajifunze...
 
Kwahio yeye kula mara mbili anafikiri mimi mbeba magunia sokoni ilala naweza kula mara mbili? Si nitaamkq usiku na njaa kama watu wanafagia tumboni na panga?
Kula inategemea na aina ya kazi,umri na vitu vingine. Binadamu wote hatuwezi kuwa kama yeye.
😂😂 kama watu wanafagia tumbon na panga
 
Back
Top Bottom