Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Hahaha..
Sasa kama unamiliki warembo kadhaa halafu ndo unakula kwa ku beep tumbo hivyo utamudu kupeleka moto kweli?!!
 
Mkuu, hakuna video clip ya huyo dr akiongea hayo?
 
Huyu naye waandishi waache kuongea naye,mimi mbeba zege na magunia nile mara mbili? Anachosha sana kila siku ni yeye
Nashani kikubwa anatakiwa ashauri watu wale vyakula salama na kufanya mazoezi baaasi. Aaache mbwe mbwe zake
 
Hicho chakula laini unakitoa wapi chief?vitu vingine muwe mnaongea reality hizo mambo kibongobongo sio rahisi sana kama mnavyojisemesha
 
Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Mi nikifanya hivyo mwezi mzima mnaweza kunipoteza,wacha tu niendelee na mazoezi huku nikila mara 3 kwa siku...
 
Nyie wataalamu mnatuchanganya mara ukikaa na njaa muda mrefu unaweza ukapata maradhi mara ukila mara kwa mara pia tunapata maradhi!!??!?!? niwaombe mtuache sisi tutakula tutakula tutakavyo na tupo pamoja mpaka uzeeni uko mbele mbele.....!
Uko sahihi. Kwakifup kama hauna changamoto yoyote ya kiafya, kula tu huku ukizingatia utaratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…