Weita tuletee kama tulivyo na uende umwite mtu wa Jikoni 🤗Maandiko pia yanasema starehe ya mwanadamu Ni Kula Na kunywa vingine ni ubatili
Yaani hawa watu wanatuvurugaKabisa kabisaaa.
Kama anakula hivyo, ya nini ku publicise? Yeye ale tu na sisi atuache tule tuwezavyo maadam afya zinaturuhusuu
Duh, huyu atastaafu lini ?
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Walaa...Njaa haiumi ukilala bila Kula usiku
Sukari pekee yenye manufaa mwilini ni ile inayopatikana kwenye vyakula vya asili kama matunda, miwa, nk..Huyu mzee kuna vitu anatupotosha sana binafsi simtilii maanani tangu alipotoa kauli sukari si muhimu
Kwa macho tu anaonyesha Afya yake mgogoroUkimwangalia kwa kalibu anaonekana kabisa afya yake haijaimarika.
Hebu Mwangalieni kwa umakini anapo ongea.
Anafanya kazi gani sasa ya kuhitaji kula mara tatu? Suala sio kula mara ngapi, swala ni kula kile unachohitaji tu, sio zaidi.., sasa njaa inauma hadi unataka kuzimia badi tu ujikaze, what for? why?
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Kwanza atueleze na choo anapata mara ngapi kwa siku?Huyu mzee kuna vitu anatupotosha sana binafsi simtilii maanani tangu alipotoa kauli sukari si muhimu
Mkuu umeongea kwa uchungu sanaUlaji mbaya pia unajaza choo, unakuta mtu anashusha kilo mbili chooni kisa tu alikula chakula kingi, choo kitaachaje kujaa haraka? Nidhamu ya kula haipo, kwenye sherehe pale bufee mtu anachukua kila chakula na kujaza sahani na atarudia tena. Aibu hana anafika mpaka mwisho wa bufee zenye msururu mrefu wa vyakula vingi. Ulaji wa aibu sana unaibisha mabosi wa kazini kwako wataona una njaa kali na huwa huli vyakula hivyo unafakamia tu
Mara mbili, hiyo ni milo ipi maana tunatakiwa kula milo mitano kwa siku, yaani chai asubuhi, chai saa nne asubuhi, chakula cha mchana, chai saa kumi alasiri na chakula cha usiku ili utumbo uwe kwenye umbile lake.
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Nitakufa,kwa hii ratiba...kila,mtu afanye analowezaAsubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji