Prof Jay: Ferooz akiwa wa moto sana alikuwa hagusiki yaani uvimbaji kama wote

Mziki tatizo ni kuchuja
Sasa leo hii nice aje aimbe
Kuku kapanda baiskeli
Watu watamuelewa kweli

Sasa leo hii nice mtu wa kunywa bia bar na kugoma kulipa au kukimbia bill

Ova
Tena bia yenyewe safari. Dah jamaa anaomba bia yule na ukimnunulia nyingine anasema hatalewa hivyo yeye ni mwendo wa nondo tu
 
Ilikua kama miaka kadhaa nyuma aliazima akafanyie video. Ni kipindi hiki alichokua ameshapotea. Kuna video fulani alifanya na mdada kama ya mnanda sijui ndo chiriku. Kenge maji. Alikua anaringa sana. Tulimkata mitama
Hahahahaha daaah ferooz mzee wa jeep Cherokee daaah
 
Kwa ishu ya mziki kweli kabisa
Nice nisham save vipondo kupewa kama 4 hivi masai,garden breeze magomeni,bar moja kino,
Huyu alikulia mtaa Togo kino
Longtime haja hit nlimkopeshaga 20000 aliomba nauli aende zenji
Nkampa na sim aina ya sagem
Hiyo hela hkunilipa tenaaa
Alipokuwa star ndy kila tukigongana namdai napigwa kalenda tu
Wakati fulani nkakutana naye bar kimara korogwe kanywa bia na kitimoto akaondk bila kulipa [emoji1]
Jamaa alishindwa tumia nafasi vzr

Ova
 
Hela ya mziki ni kama ya urithi ikipita ukachuja ndo basi tena wakati ukuta
 
msanii kufanikiwa haimaanishi apendwe na kila mtu.ukimpenda wewe inatosha kaka.
alichofanya mond sio cha kwanza tz au duniani mpaka useme kila mtu anamwiga yeye,kiba kaoa,mond kaoa lini kwa ndoa???
katika maisha kuna juhudi halafu kuna bahati,ukiwa mpumbavu utameona mond ni mtu mwenye akili sana kumbe ana bahati.mwaka wa 12 yuko peak kwenye game huwezi sema ni juhudi au akili mingi.
hakuna asiyependa kuwika muda wote,ila unafanya nini ili iwe hivyo hiyo ni bahati kijana.
 
Yani unaacha kuuza kwa sababu mteja hajakusalimia?? nyie ni kabila gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…