Prof. Kabudi apata ajali Morogoro, amelazwa Hospitali ya Rufaa na hali yake ni nzuri

Anakuwaje waziri kipindi hiki?!
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi yupi Professa wa Constitutional law au

Kabudi wa Tume ya mabadiliko ya katiba au

Kabudi wa kutoka jalalani au

Kabudi wa Barrick na manhattan

Unaongelea kabudi yupi
Atakuwa namba 3 labda. [emoji2955]
 

Mungu amtunze katika maumivu yake na kumponya majeraha yake. Bado tunamhitaji sana huyu mmoja wa viongozi wa mkono wa kuume wa JPM.

Miaka michache nyuma hii ingekuwa deal. Ndege ingesha kodishwa kwa safari kuelekea India au SA. Mradi wa kula'kutapanya na kufuja fedha za walipa kodi wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…