Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Kutoka million $16 hadi sijui $33 unataka walipe just like that?

Anyway ngoja tuone utaishia vipi
Wangekaa chini na huyo mkulima wawe wanamlipa kidogo kidogo kama alivyokuwa akilipwa na mwinyi mkapa Kikwete waache ubabe na za dhuluma za kishamba
 
Kama mngejua ni ndege za watanzania msinge jimwambafai kuwa ndege ni za Magufuli. Lipeni madeni, haya ni matokeo yanayoletwa na Magufuli.

Magufuli anatugawa sisi watanzania, anatuvuruga ili nchi yetu iparanganyike vipande vipande kama ilivyokuwa Rwanda.

Tulipofikia ndio mjue kuwa watanzania hatupo tena pmj. Yaani wengi wa watanzania hawampendi Magufuli, wanaompenda ni wale waliomzunguka tena wanamdanganya kwa vile wanakula kwa mgongo wake.
 
ikamatwe tu, wakitaka waipige mnada kabisa. Yaani uache kufanya mambo yako ya msingi ukasikitikie ujinga kama huo. MATAGA sikitikeni
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 huyu mkulima ni nomaaa,anapenda ndege sana,itabidi tumtengenezee za mabox tumpe labla ataacha kukamata ndege zetu
 
Jamani watanzania huyo si mkulima, atakuwa mfanyabiashara. Wakulima hawa hawa tunao wafahamu sisi ambao ukiwadhulumu wanakuendea kwa babu kukuloga.
Utawala huu una waganga wake kipo kitengo maalum kipo chini ya Daud Bashite kina waganga 65 toka mataifa mbalimbali na mtu anayetumwa kwenda kuwachukua ni Le mutuz, huyo anajua kila mganga mkali popote Duniani.
 
Unadhani hkisikitika kukamatwa kwa ndege ndio unakuwa mzalendo?au ukikasirishwa?Hizi ndege zina mikosi kwa kuwa hazina baraka za wananchi watoa kodi,zina baraka za watawala ambao wanajipigia mapesa huko kupitia miradi bubu kama hii-vagabond.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 huyu mkulima ni nomaaa,anapenda ndege sana,itabidi tumtengenezee za mabox tumpe labla ataacha kukamata ndege zetu
Utawala huu awamu ya tano ya wasukuma wawili Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu malaika toka chato ni waumini wa Ndege na hupata 10% kwenye ununuzi wake ndiyo maana mkulima kalenga huko huko iwe rahisi kulipwa Deni lake
 
Naomba Mkulima Steyn akamate madege yote cuz yamenunuliwa kwa wizi na yanajiendesha kwa hasara!
 
Dawa ya Deni ni kulipa walipe Deni waache ubabe na ligi zisizo na Tija kwa Taifa
 
Hiki kikundi kilitumia pesa nyingi South Africa ikiwemo kutembeza Rushwa hakifai kupelekwa popote gharama zake ni kubwa mara mia kupunguza Deni kuliko kugharamia hicho kikundi kwenda tena Canada.
 
Tatizo deni lenyewe nalo liliongezekea katikati. Na huyo mtu ajafungua kesi Tanzania ya madai serikari imeshindwa kumlipa bali anakimbilia mahakama za kimataifa kwa madai ndani atosikilizwa.

Why so?
Kipind Hiki Unaweza Kuidai Serikali Ya Tanzania Mahakama Ya Tanzania Wakakulipa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…