Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Chadema kama kweli mliongea hili Basi Ni wazi kuwa mnaendeshwa kwa hisi zaidi, na hapo ni ishara kubwa hamna utaasisi imara.
Bavicha walisema yule jamaa alilipwa kimyakimya ndio maana ndege ikaachiwa kule south africa!
 
Kama kweli hili suala sio vizuri.
Bora tubadilishe jina ili tusonge mbele ndege zote na shirika liwe chini ya Taasisi ya serikali mpya yenye jina kama Air kilimanjaro au Air Tanganyika n.k.
Na hayo madeni na shida za Air Tanzania tuyaepuke.
Makosa au matatizo ya zamani yasiharibu maendeleo ya leo.
 

Jambo jema, kama ni kweli, kuwa safari hii habari zenyewe zimetoka ndani ya serikali. Tunapiga hatua mbele.
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Canada siyo south Africa wewe kengee wa lumumba hapa ni kulipaa denii.jeuri kakutana na jeuri yake tuone sasa.na hizo ndege mzirushe humu humu ndani ikitoka nje tu zinakamatwa
 
Canada siyo south Africa wewe kengee wa lumumba hapa ni kulipaa denii.jeuri kakutana na jeuri yake tuone sasa.na hizo ndege mzirushe humu humu ndani ikitoka nje tu zinakamatwa
Kule South Africa ni Africa na Tabia zao ni mbovu walipokea Rushwa wakaachia Ndege lakini hapa Canada hawana ujinga huo ni haki bini haki
 
Ngoja huko Canada si ndio kule kwa akina barick na acacia ?

Hawa tushaelewana nao? Waongee na ndugu zao ,ndege irudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…