Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Ndege hiyooooooooo

Itawasili tuuu,
maana haya madeni si ya JPM aliyesababisha. Kama vile yule mkulima kibabu alivyoikamata ndege yetu. Hamjitambui ndiyo maana kwenu kila baya linaloipata Tanzania ni furaha kwenu.
 
Kamshindeni na huko Canada sasa,pelekeni yule jamaa mwenye digrii nne si mwanasheria yule au...

Sio kutwa anashinda na kina Hamonaizi tu..
 
CCM mkienda kuomba omba misaada munawaita wazungu wafadhili lakini mkivurunda wakawakemea mnaanza kuwaita mabeberu

Nenda kajipange, maana hapo hamna hoja uliyoiongea.
 
Kwa nini Kabudi anapenda kumdanganya Rais kila apatapo nafasi? Hivi kesi ya Mkulima tulishinda wakati deni lilikuwa palepale?
Kule ni taratibu zilikosewa na watu hata humu JF walionya sana kuwa tunafunika moto kwa kuufunika kwa jivu. Wanasiasa nao walionya wakaitwa mabeberu Jr, wakanyamaza. Serikali ikaanza matambo kama ya kijiweni eti ilipeleka PhD ngapi sijui, wakapongezana hadi Bungeni na magazeti yao yote.

Tunasema tena, tumejikita kupeleka mambo yetu kishamba sana na sifa za kijinga lakini yakiharibika tunataka RAIA wote eti wasikitike na hilo batch la watu wa hovyo. Hapana, ujinga huo ni wenu wenyewe na sasa sijui kama mkulima hata lipwa tena.
 
Tatizo linakuja sasa ile pesa ya mkulima Kabudi aliichukua kaitafuna baada ya kuamini wamemdhibiti, hapo alipo kichwa kinamuuma
 
Mimi nashangaa...hivi huyo mkulima anadai kiasi gani ambacho serikali inashindwa kulipa tukamaliza hii ishu? Hizo ndege sasa zitashindwa kwenda nje ya nchi kwa hofu ya kumamatwa
 
Huyo mkulima alivyo kichaa msishangae akija kufungua kesi na hapa Tz ndege ikapigwa ban either JNIA or KIA.EXTRA:ss mhe waziri analalamika kwamba Canada wanazuia ndege daily kama vp wabadili soko cjamuelewa vzr hapa ndugu wajumbe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.JAMBO NA VIJAMBO..🚢🏿🚢🏿🚢🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…