Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

I knew it ngozi nyeupe hawapendi kushindwa kirahisi wanasaidiana wapande ndege hao wanaosema wana PhD za sheria wakapambane na kwenye pua ndefu tulisema mwanzo Dawa ya deni ni kulipa.
 
Mwehu wewe alichokamatwa nacho Masogange sio unga.
Unatukana matusi unamaliza ila nakuhakikishia Masogange alikamatwa na Crystal Methamphetamine material ambayo ni major ingedient ya kutengeneza madawa ya kulevya.

Kama una taarifa zadi ya hizi weka
 
Ripoti ya awali kutoka Afrika Kusini inasema wanawake wawili wamekamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa OR Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Rand million 42.6 kiasi ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kukamatwa katika mpaka wowote wa nchi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyoripotiwa na shirika la habari la Africa Kusini SABC siku ya Ijumaa (July 5), msemaji wa South African Revenue Services (SARS) Marika Muller amesema, wanawake hao waliowasili na ndege kutoka Tanzania, walikutwa na mabegi 6 makubwa yaliyojaa madawa (crystal meth) yenye thamani ya Rand 42.6 million ambayo ni sawa na zaidi ya billion 6 ya Tanzania.


Muller aliendelea kusema baada ya mizigo yao kuanza kukaguliwa ndipo timu ya maafisa uhamiaji iligundua kilo karibia 150 za madawa katika mizigo yao, kiasi ambacho ndio kikubwa kuwahi kukamatwa kama mzigo mmoja katika mpaka wowote wa Africa Kusini.


“When searching their luggage which was six large bags of black holdall bags, the customs team found just less than 150 kilos of crystal meth that is what we also call Tik in South Africa.

Those drugs are valued at R42.6 million which makes it the single largest seizure by the SARS customs team at any border in South Africa.” Alisema Muller.

GUNIA MOJA NI KILO NGAPI?
Kwahio walihonga hao SARS?
 
Hii ndege ilikuwa itumiwe na Rais kuhamia rasmi Dodoma. Canada waelewe kuwa kuzuia hiyo ndege ni kumkwamisha Rais na hiyo ndege ilikuwa imewekwa vifaa maalum vya kiusalama kwaajili ya kupasua Anga la Kibiti
Senge sana
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwasababu hujawah fika mafya, basi kule hua hawaishi watu

Akili zako hizo
Binti jizungushe unavyotaka hamia kujifanya unajua akili za wanaume ila ukimaliza kubadilisha pedi uje hapa uainishe maslahi ya Canada kwa mradi wowote unaoujua.
 
Unatukana matusi unamaliza ila nakuhakikishia Masogange alikamatwa na Crystal Methamphetamine material ambayo ni major ingedient ya kutengeneza madawa ya kulevya.

Kama una taarifa zadi ya hizi weka
Umesema major ingredient ya KUTENGENEZA MADAWA YA KULEVYA......sina la kuongeza.
 
Hii ndege ilikuwa itumiwe na Rais kuhamia rasmi Dodoma. Canada waelewe kuwa kuzuia hiyo ndege ni kumkwamisha Rais na hiyo ndege ilikuwa imewekwa vifaa maalum vya kiusalama kwaajili ya kupasua Anga la Kibiti
Tena tenda ya kuwekewa vifaa vya usalama kwa ndege ya Rais tumemtuma dalali Mshana Jr stutafutie "mtaalamu" kwani gharama ni nafuu sana, mbuzi mweusi, blanket na kuku weupe watatu na chumvi.
 
Mabeberu na michezo yao ya kishetani

Wamemshindwa kwenye karatasi sasa wanavizia mali zetu


Rais Magufuli funga Ubalozi wa Canada Ndani ya saa 72 ili watoe Maelezo
Mkuu hivi kweli kweli kweli mmeshindwa kumteka yule mzungu kama mlivyo wateka akina Azory et-al??????,..........mpigeni hata risasi basi kama mlivyo mfanyia Lissu, aache kuisumbua awamu ya 5 bwana. Usisahau kuwa diplomasia awamu hii ni chini ya sifuri.
 
Mnakasirishwa na nini? Si mumlipe huyo mkulima aachane na ninyi!?? Na kwani mkisusa kununua ndege huko ndo mtawapunguzia Mapato yao mxiiiiew. Dawa ya deni ni kulipa tu hamna maneno mengi, mnakataa kumlipa huyo jamaa vitu anavyowadai halafu mnaenda kununua pipa tena cash. Hii inaonesha wazi pesa mnazo ila ni ujeuri wenu tu wa kukataa kumpa vyake mmalizane nae. Haya ngoja tuone na hii drama itaishaje
 
Mimi kama mkulima namsapoti mkulima mwenzangu

I think we in the right direction. Kama sasa hivi tunaanza kuandamwa hivi then sio tena mapoyoyo
We have something worth causing troubles
 
“Jambo linalosikitisha ndege zilizokuwa zinatoka Marekani aina ya Dreamliner mbili hazikukamatwa zimefika lakini kila ndege inapotakiwa kuondoka Canada tunashangaa hao matapeli wanajuaje na ndege zinakamatwa.”
Amesema Balozi wa Tanzania nchini Canada

[/FONT]


Chanzo: Mwananchi
Wamejuaje wakati zimeandikwa "HAPA KAZI TU"!!?
 
Tutamshinda kama tulivyomshinda (SA) yeye aendelee kuvizia mali za Serikali, hana kesi huyo ni maloloso maloloso tu, muda utasema. Tena safari hii atalipa damages kinoma. Ni swala la muda tu tunaenda vizuri. JPM amechoma kwenye mtima na Mabeberu wanawewesekaweweseka.
 
Back
Top Bottom