900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Ka bundiMara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
View attachment 3465002View attachment 3465006
Nimeshangaa sana namna alivyokwepa kutaja Mgombea wa kitincha Urais 2020 katika mchango wake kuhamia Dodoma na uanzishwaji wa hiyo miradi ya kimkakati!Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
Nani ajuaye,anajua mwenyeji wakeKwa
Kwan huyu anfanana kobisi kikala ni nani alienda kufany nn ikulu 😂😂🙄
😅😅Ukweli hii picha inakera. Ndo maana first-gentleman amezira. Mimi tu inanikera. Je, mzee yule?. Sijui kwenye dini yetu islam kama haya yanakubalika, najua HAPANA.
Marehemu Mzee Ally Hassan Mwinyi (Allaah amrehemu ) aliwahi kusema kwamba mambo aliyoyafanya Magufuli ndani ya miaka mitano amewapita Marais wote kuanzia awamu ya kwanza hadi ya awamu ya nne akitolea mfano Magufuli alivyojenga mabarabara na kununua mandege,je kwa hili pia mzee Mwinyi tumchukulieje?!Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
View attachment 3465002View attachment 3465006
Angalie asijekudhani kilosa ni mapoyoyo watampa tu kura bila kujinadi jimboni kwake. Ameacha kampeni kwake anaenda mbeya kuwaombea wenzie kura!Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
View attachment 3465002View attachment 3465006
Huyu chawa mpuuzi apuuzwe kwa uchawa, kujikomba na upuuzi wake. Profesa wa hovyo, hakuna mfano. Senzi kabisa."Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
View attachment 3464935
s
Unadhani Mwinyi yule alikuwa na kumbukumbu sawasawa?Marehemu Mzee Ally Hassan Mwinyi (Allaah amrehemu ) aliwahi kusema kwamba mambo aliyoyafanya Magufuli ndani ya miaka mitano amewapita Marais wote kuanzia awamu ya kwanza hadi ya awamu ya nne akitolea mfano Magufuli alivyojenga mabarabara na kununua mandege,je kwa hili pia mzee Mwinyi tumchukulieje?!
Kabudi is right, Mimi namuunga mkono, shida ni vile tulivyoyatafsiri maneno yake kwa tafsiri mbaya ili aonekane kakosea.Unadhani Mwinyi yule alikuwa na kumbukumbu sawasawa?
Huyu naye eti ni prof hawa ndo wanasababisha elimu idharaulikeKwetu jitu kama hilo wazee wa zamani walikuwa wanasema kuwa huyo ametokana na fertilization ya
Kwetu wazee wa 1880s walikuwa wanasema ukimzaaa mtoto wa hivyo, ametokana na fertilization ya egg by Cowper's fluid. Walijua kuwa that clear lubricating fluid ina sperms lakini zikifanya fertilization anatokea mtu kama huyu mbaye ni kutoka jalalani, lofalofa, kama jinga jinga hivi
Natamani wana jf wote wangekuwa na uelewa kama wakwako lakini ndio hivyo tena wanasema akili ni nywele kila mtu ana zake.Hii JF mbona inawatu wahovyo sana.
Mijitu imesoma highlighted heading then ina comment tu.
Soma quotation ya chini
"Dr Samia Suluhu Hasani katimiza mambo makubwa ambayo Baba wataifa aliyataman but hakuweza kuyatimiza"
Hapo kunashida gani ?
Mambo haya yana apply kila siku kwenye maisha yetu.
Aliongea Vunjabei(Fred) kuwa kafanya mambo makubwa ambayo Baba yake aliemfundisha biashara aliyataman ila hakuyafanya.
Haina maana kwamba nibora zaid ya Baba. But inamaana endeleza walipoishia au boresha walichofanya
Duh kuna video niliona aligawa pesa dolla airport na haikuisha zilibakiNani ajuaye,anajua mwenyeji wake
Kauli hii ya Kabudi Ina ukakasi gani? Ni swala la kuuliza ni mambo gani hayo ambayo SSH amefanya kumzidi Nyerere (yapo) ila Kwa kuwa wewe na hao wengine ni wajinga mliolishwa ujinga ndio maana unaona ni ajabu.Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.
Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo
Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako
View attachment 3465002View attachment 3465006