Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

Wewe acha kutetea ujinga kana kwamba wewe ndiye unayejua tu peke yako vipi kesi iliyosababisha ndege ya kwanza kukamatwa ilikuwaje ? Je ni utafiti?

Ama kuhusu wanasiasa kukosoa watangulizi ktk serikali mwasisi ni nani kama siyo huyo Magu unayetaka asikosolewe?

Muwe mnapima pande zote kabla ya kutoa hoja zenu.
Yule mkulima Stein kama nakumbuka jina lake vizuri; alikuwa na shamba lake, mali zake na kweli alikuwa akiliendeleza.

Serikali ililichukua toka zama za Nyerere na kuahidi kumfidia ila awakufanya hivyo; kwa hivyo kweli alikuwa na madai.

Hoja ni je? kiasi alichotaka alipwe even with inflation adjustments was justifiable. Halafu kumbuka mkulima mwenyewe alikuwa ameshazeeka wala hakuwa na shida na hayo madai ila mafisadi (watanzania wenzetu) ndio walio iamsha ile kesi, kushikia bango na kuanza kuzisaka ndege kumkomoa Magufuli.
 
Binafsi huwa naamini kuwa ktk nchi hii ukiwa ktk nafasi hizi kwenda mbinguni ni ngumu sana!
Upolisi
Hakimu au jaji
mbunge wa ccm
 
Hivi wewe unaelewa maana ya uwekezaji au unatoa hadithi za bulicheka kufanya utafiti wa madini kama lithium unajua ni million ngapi dollari unajitaji?? Mafuta tu shell walikuwa na boti inatumia dollari milioni 2 kwa siku imepaki hapo Dar kwa mwaka alafu leo unasema mwekezaji alitekeleza eneo huo ujinga ndio utakao wapa Tanzania hasara mpaka waamke. Kuwekeza maana yake ni kwamba unaweza kusubiri kitega uchumi chako kipate soko sasa kama hakuna soko unamnyanganya aliewekeza kwanza ummpe huyo aliekuja sasa wakati soko lipo ndio sababu Tanzania migogoro na wawekezaji haitoisha kama watu hawaelewi maana ya uwekezaji na haki za mtu kuwekeza. Huyo mpya mwambie awasiliane na aliewekeza kwanza na sio kumnyanganya aliewekeza kwanza na kumpa mpya kama mtwara Dangote na Azam shamba la miwa bagamoyo
Hakupewa ardhi ahodhi akisubiri soko likae vizuri ndio afanye uwekezaji wenye tija. Mkataba wake ulitaka aangalie kama madini yapo, achimbe wote tupate. Mtu kapotea halafu anataka amiliki ardhi afanye udalali.

Ukitaka kuona utapeli wote hao madai yao sio kurudishiwa mikataba yao ili kuendeleza shughuli za uchimbaji wa madini.

Wao wanadai compensation tu ya kunyang’anywa ardhi ni watu ambao walikuwa hawana hela ya hiyo shughuli wamechukua ardhi, wamehodhi, wanasubiri wanyang’anywe washitaki serikali wavune kirahisi; na huu ndio muda wao.
 
Sawa Tanzania kila mtu mjuaji tuone mwisho itakuwaje
 
Sawa Tanzania kila mtu mjuaji tuone mwisho itakuwaje
Tutajie ata kesi moja ambayo kuna mwekezaji wa madini aliefutiwa leseni anadai kurudishiwa mkataba wake.

Wote wanataka compensation tu ya kuchukuliwa ardhi bila ya fidia; kulikuwa na uwekezaji hapo.

For some reasons known to them huko serikalini watashindwa, ila lawama wasimtupie hayati. Tuambizane tu ukweli zama za kupiga maisha yaendelee.
 
..viongozi wetu pia wamelelewa vibaya kiuongozi.

..mfumo umewadekeza sana kwa kuonea wananchi bila kuwajibika au consequences zozote.

..kwa mfano kiongozi anaweza kutoa uamuzi nyumba za wananchi zivunjwe na kusitokee athari zozote kwake. Na wananchi hawana mahali pa kwenda kulalamika kwasababu viongozi wetu wana-control kila kitu ikiwemo mahakama.

..sasa tabia hizohizo wanakwenda nazo ktk kufanya maamuzi dhidi ya wawekezaji. lakini hawa wawekezaji hawana tabia za kinyonge-nyonge kama Watanzania wa kawaida. Pia wawekezaji wana option ya kwenda kutafuta haki zao nje ya nchi ambako viongozi hawana control au mamlaka.
Noma sana!
 
Utamaduni wa Uchawa.
Tundu lissu aliliona hilo matokeo yake mkamuona mnafiki na wewe kitila ukajipendekeza kwa magufuli ukapewa jimbo na yule mwengine akapewa ugavana benki kuu leo unathubutu kusema maneno hayo kweli halafu hao eti hao wenzako wanakushangilia ni unafiki mtupu maneno hayo alipaswa ayasemme tundu lissu.
 
Tutajie ata kesi moja ambayo kuna mwekezaji wa madini aliefutiwa leseni anadai kurudishiwa mkataba wake.

Wote wanataka compensation tu ya kuchukuliwa ardhi bila ya fidia; kulikuwa na uwekezaji hapo.

For some reasons known to them huko serikalini watashindwa, ila lawama wasimtupie hayati. Tuambizane tu ukweli zama za kupiga maisha yaendelee.
Uwekezaji ulifanyika kwenye ardhi sasa kama huelewi tofauti ya huo uwekezaji utashinda vipi kesi??utaturudisha vipi mkataba ambao ni karatasi na there’s nothing tangible to that unless it’s land my dear please 🙏🏿 people educate your self about investment and no one comes to Tanzania and get free land they pay for it.Hiyo hadithi ya kupewa ardhi sijui mnaipata wapi?
 
Katika watu wa JF ninaopata shida nao kuwaelewa vizuri, wewe ni mmoja wapo.

Haya uliyoandika hapa yanahitaji ufafanuzi juu yake.
Hivi kweli hizi kesi zote ambazo mali za nchi yetu zimeshiliwa huko nje zimetokana na nini hasa?
 
Mkuu 'Rasbamba; hebu tulizana kidogo utueleze utaratibu wenyewe hasa upoje katika kupewa ardhi huko wanakopewa hao watafuta madini.
Hii ardhi huwa wanapewa hati miliki ya eneo husika, kama kwa mfano ugawaji wa viwanja unavyofanyika?

Katika utaratibu huo mwekezaji hupewa masharti gani ya kuyatimiza.

Inaelekea kuwa na ufahamu juu ya swala hili, hebu tufafanulie vizuri ili tujue makubaliano yahusuyo uwekezaji wa namna hiyo.

Jibu lako hapo juu ulilompa 'Mayor', kidogo halijitoshelezi, nadhani ulchukulia tu kwamba wasomaji watakuwa wanajua unachozungumzia. Fafanua kidogo sote tupate uelewa.
 
Katika watu wa JF ninaopata shida nao kuwaelewa vizuri, wewe ni mmoja wapo.

Haya uliyoandika hapa yanahitaji ufafanuzi juu yake.
Hivi kweli hizi kesi zote ambazo mali za nchi yetu zimeshiliwa huko nje zimetokana na nini hasa?
Unatakiwa useme ujaelewa nini nifafanue.

Kufunguliwa kesi aina maana utashindwa pia.
 
Uwekezaji ulifanyika kwenye ardhi sasa kama huelewi tofauti ya huo uwekezaji utashinda vipi kesi??utaturudisha vipi mkataba ambao ni karatasi na there’s nothing tangible to that unless it’s land my dear please 🙏🏿 people educate your self about investment and no one comes to Tanzania and get free land they pay for it.Hiyo hadithi ya kupewa ardhi sijui mnaipata wapi?
Condition ya kupewa ardhi ilikuwa ni nini?
 
Unatakiwa useme ujaelewa nini nifafanue.

Kufunguliwa kesi aina maana utashindwa pia.
Nakiri sikujieleza vizuri na kueleweka nilichoandika hapo.

Ukiacha mstari wa kwanza ambao ni nje ya mada hii, maneno mengine yote nilikuwa ninakubaliana na hoja yako ulivyoieleza hapo.

Huo mstari wa kwanza unahusu uelewa wangu kwako kuhusu mambo mbalimbali tuliyowahi kukutana na kuyajadili humu JF, mengine tukikubaliana, na mengine tukipishana mitizamo. Hili ni jambo la kawaida.

Kuhusu hizi kesi, ni kama umenistua akili kuanza kujiuliza juu ya nini ambacho huwa tunashtakiwa juu yake na mara nyingi kushindwa kujitetea. Sijui kama kuna mwekezaji yeyote aliyekuwa tayari kawekeza na mgodi wake ukanyang'anywa na serikali na yeye kuamua kwenda mahakamani kujitetea juu ya hilo.

Kwa uelewa wangu sasa, baada ya kukusoma ni kuwa hawa watu wanaotushtaki hawana madini yoyote ambayo walishayagundua, bali ni watu (Kampuni) zilizopewa eneo kutafuta madini. Ambacho bado pia sikijui, ni kama wanapopewa maeneo hayo wanayotakiwa kupewa madini kuna makubaliano yanayoifunga serikali kutoyadai tena maeneo hayo ikiyahitaji. Je hii mikataba masharti yake yapoje?
Hawa watu hupewa umiliki wa eneo husika; kwa muda gani? Ni gharama zipi hutakiwa kuzikamilisha wakati wakitafuta madini hayo. Ninaelewa pia baadhi ya maeneo hayo ni makazi ya wananchi ambao huendelea na shughuli zao kama kawaida.
Sasa huyu mwekezaji anayo haki gani juu ya eneo kama hilo!
 
Matatizo haya yote yanatokana na Katiba mbovu ambaye haiwajabishi viongozi hasa Rais wa Jamhuri.
 
Mkuu kwa nchi ilivyokubwa.. JPM hakuona mapori huko mbele ya Bagamoyo.. Au Msata..?
Sasa kulikuwa na ulazima gani mpaka tunastakiwa na tunatakiwa kulipa..
Kabla hatujaenda mbali unaweza nambia shamba hilo lilikuwa la nani? Na mkataba wa umiliki unasemaje maana tusiwe tunazungumzia vitu ambavyo havipo.

Nijuavyo hilo lilikuwa shamba la Miwa miaka ile ya mwalimu. Sielewi aliuziwa nani au process gani ilofanyika hapo kati. Ni vema twenda na ushahidi toka upande wako ili tusije jadili vitu kiholela.

Mwisho, niseme tu kwamba, kuzalisha miwa hauwezi fanyika porini au pori lolote isipokuwa kando ya mito ama sehemunyenye maji mengi. Haya mashamba ya miwa, chai, Katani, kahawa yalokuwa hayaendelezwi, yamekufa toka zamani, JPM alitaka yarudi katika Uzalishaji na sii kila pahala mazao haya yanastawishwa.

Naomba nipe mrejesho wa shamba hilo lilikuwa linamilikiwa na nani na Magufuli akamuondoa ili ampe Bakhresa..
 
Leta huo ushahidi sheria mpya ndio zilivunja hiyo mikataba.
Mimi Tena kivipi wakati kasema mwanaCCM mwenzako Tena bungeni kama angedanganya wangesema afute kauli kwenye Hansard isiwepo.
Halafu sijui case gani una refer nyingine bado hazina maamuzi.
Nyie mlisema hatuwezi shtakiwa tunatishwa tu na Lissu. Leo Tena mnahamisha magoli kwamba kesi zipo ila maamuzi Bado?
Kwa hivyo huko serikalini wanajua sheria mpya sio applicable kwenye existing contracts, hizo aziwezi kuwa sababu za kuvunja hiyo mikataba; huyo Kitila anaropoka tu.
Serikali ipi inajua mkuu? You're understating the incompetence ya watendaji wa serikalini. Mfano sheria ya permanent sovereignity ilitaka settlement zozote zifanyike katika mahakama za ndani. Kwani hawakujua hicho kitu hakifai? Mwaka mmoja baadae ndio wakafanya ammendements Ili kesi ziendelee kusikilizwa huko ICSID, ICC and so on. Ni hao hao serikali walidai Acacia imekwepa Kodi ya trillion 300 Leo hii wanakiri haikuwa kweli ilihali walipewa vyeti kabisa kama mashujaa kwa kuandaa ripoti. So don't understimate upuuzi wa hao watendaji
 
Back
Top Bottom