Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Yule mkulima Stein kama nakumbuka jina lake vizuri; alikuwa na shamba lake, mali zake na kweli alikuwa akiliendeleza.Wewe acha kutetea ujinga kana kwamba wewe ndiye unayejua tu peke yako vipi kesi iliyosababisha ndege ya kwanza kukamatwa ilikuwaje ? Je ni utafiti?
Ama kuhusu wanasiasa kukosoa watangulizi ktk serikali mwasisi ni nani kama siyo huyo Magu unayetaka asikosolewe?
Muwe mnapima pande zote kabla ya kutoa hoja zenu.
Serikali ililichukua toka zama za Nyerere na kuahidi kumfidia ila awakufanya hivyo; kwa hivyo kweli alikuwa na madai.
Hoja ni je? kiasi alichotaka alipwe even with inflation adjustments was justifiable. Halafu kumbuka mkulima mwenyewe alikuwa ameshazeeka wala hakuwa na shida na hayo madai ila mafisadi (watanzania wenzetu) ndio walio iamsha ile kesi, kushikia bango na kuanza kuzisaka ndege kumkomoa Magufuli.