LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,508
HUYO PROF PUMBA .....MPUUZ KWELI ANATUMIWA NA CCM KUKIANGAMIZA CUF..ILA ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA
OVA
Mkuu you are spot on...huyu jamaa anazidi kujifanya katuni...yaani ni mtu wa ajabu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUYO PROF PUMBA .....MPUUZ KWELI ANATUMIWA NA CCM KUKIANGAMIZA CUF..ILA ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA
OVA
Na mpaka tumfikie maalimu seif, maana alijaza maruhani wake pale Ubungo plaza, tunahitaji maelezo yake ya kina, kwa nini alitenda vile?duh, inabidi watafute njia ya kudeal na huyu jamaa kabla hajaleta further damage
Cause hali ikiendelea hivi, chama kinaonekana kiko on the edge ya kuparanganyika
Ila this prof should REALLY be ASHAMED of himself kwa huu ujinga anaofanya na kukubali kupelekeshwa kuharibu/dhoofisha chama ambacho amekuwa nacho na kukitumikia for years.
Dats how it is...kuna tatzo ndani kwa ndani cuf penyeweBut, yawezekana napata shida kuunganisha dots. Hivi ni kweli CUF ndiyo great threat kwa CCM? I'm just curious, I guess there is something wrong within CUF itself, I'm not happy with what happens to CUF but I think the party members should open up the box and see what eats them inside
Umesahau, kuwa professor aliondoka cuf kwa kuchukia tendo la kuleta mgombea urais el ambaye kipindi chote mlimtuhumu kuwa fisadi. Tatizo liko wapi prof. kukwepa kula matapishi ya kuenzi mtuhumiwa wa ufisadi?Wabunge Wa cuf msimkubali huyo mnafiki hakupigana Na nyinyi vitani alikuwa Na adui yenu siku zote Sheria ya Vita ni kumpigania uliyepigana naye vitani huyo yuko kwa ajili ya lumumba 2020 atawaacha tena simamieni haki yenu msije juta 2020 hajui machungu yenu wakati Wa Vita yeye hata kushuhudia akushuhudia alikuwa Rwanda wabunge wengi mnajua ni nguvu ya ukawa ata huyo sakaya akuwa Na ubavu Wa kumwangusha kapuya au maftaa akuwa Na ubavu Wa kumwangusha mujri bila ukawa nyinyi kama wanajeshi mnatakiwa kumpigania uliyepigana naye vitani nawashauri tu Maalim seif ndio aliwaongoza kwenye Vita mkashinda Na mnajua humuhimu wake cuf huyo jamaa anawauza 2020 mtajuta Na siyo mbali
Weee hawawezi kuthubutu, CHADEMA namba ingne, si tutamalizia ule mkono wake m1 uliobakiKwa jinsi mambo yanavyoendea siasa za nchi hii...unaweza ukaambiwa DK slaa naye ni katibu mkuu halali..!
Hahahahaa The Boss huu mchezo hauhitaji hasira.. wakina Mtatiro badala ya kukaa pembeni ndio kwanza amehamia Zanzibar kutumika vizuri na Sefu...Niliwahi kuuliza humu CUF Lipumba yuko peke yakeau ana wafuasi?
naona kumbe kina Mtatiro hawajui wanachofanya
Halafu Mtatiro nae kahamia Zanzibar?
Mimi nilishaacha kujitambulisha kama msomi mbele ya jamii,maana mambo tunayofanya wasomi wa nchi hii afadhali ata wazee wetu ambao walisoma ngumbaro.Hatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...
Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...
Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao
Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi
soda ya kijaniMi naenda kuchukua popcorn.Nikuletee nini?
What goes around comes aroundKumbuka kuwa Maalim Seif alimsukumia nje James Mapalala mwanzilishi wa CUF
Mtu anaejielewa na alieelimika hawezi kusapoti chadema ya sasaLipumba Anafanya Alicho Ambiwa Kufanya na Waliomtuma,ila Yatakwisha Haya!
Na Hapa Ndipo Ninapo Wapendea CHADEMA!
Chama Kikiongozwa na Wasomi Wengi na Kuwa Wanachama Wengi Waliopitia Shule,Ujinga Kama Huu Hauwezi Kuwepo!
Ashakum Si Matusi:
Kuna Muda Huwa Nawaza Kuwa Matatizo Mengi Yanayoikumba CUF,Kiundani Ukichunguza Utangudua Kuwa Inachangizwa na Uelewa Mdogo wa Wanachama Wake!
Mathalani,ni Kweli Lipumba Alijiuzuru na Kuwakimbia UKAWA Katikati ya Mapigano Makali,na Barua Yake Haikujibiwa,na Ana Haki ya Kurudi Maana Mkutano Mkuu wa Chama Haukufanya Maamuzi ya Kura ya Aidha Kumrudisha au La!
Lakini,Chakushangaza,Japo Aliwakimbia Wana CUF Wakati wa Vita,Lakini Bado Kuna Wafuasi Wanamkubali!
Quite Strange!
Ndio maana nimesema humu MUTUNGI na watawala wenzie wanajua walichofanya...watachaa wavuruganeee..Mwisho ZNZ watakuwa na CUF yao na Tanganyika vilevile ikifikia hapo niambie kitakachofuata maana hakuna Sheria itakayoruhusu hayo mambo...Cuf kuweni makini. Wanataka shida zitokee ili waweze kukifutia usajili chama chenu.
Kwani wewe unafikiri hili Li-Pumba lina akili. Kaandika barua ya kujiuzulu na kuikimbia ofisi. Kama aavyosema kuwa hajajibiwa barua yake, mbona alikuwa hhudhurii kazini? Barua yake haikuomba aruhusiwe kujiuzulu, alitamka kujiuzulu na ikfuatiwa na safari ya nje ya nchi ya kazi zake binafsi. Muajiri gani atakayekuruhusu kutokuwepo ofisni kwa miezi zaidi ya tisa halafu uamaue tu kurudi ofisini. Hata hizo sheria za kazi zinaruhusu? Huyo msajili wa Chama angepelekewa audited account ya matumizi ya chama na kuonesha expenses za Li-Pumba wakati ana haha mitaani angezikubali kwa vile on his own words kwamba Li-Pumba bado aliendelea kuwa mwenyekiti wa Chama? CUF kuitisha uchaguzi mpya wa kum replace haikuwa na maana kwamba resignation yake imeshakubalika?Jamani msajili wa vyama hana mamlaka kisheria kumrejesha anaweza kushauri ndio maana nwisho wa barua take amesisitiza mi ushauri.
Pili tayari taratibu za kichama zilifanywa hivyo ilikua no busara kwa Lipumba kusubiri busara za viongozi waliopo aidha kukubali ushauri huo am a kuukata ndipo achukue hatua. Alichokifanya mi saw a na uhaini na kitendo kinaweza pia kuchukuliwa kama uvunjifu wa sheria taratibu na kanunuzi za chama.
Prof. Lipumba anapaswa kufahamu atafanya Kazi na watu ambao ndio nguzo za chama kwa vurugu zinazoendelea no kuua chama alichokijenga mwenyewe kwa miaka mingo amepigwa virungu, mahakani na kwengine sasa anaharibu yote.
Yeti mach
Wewe upo CUF?Baraza kuu linaitishwa na katibu mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti amabae ni Lipumba
Kina mtatiro wanaenda kuitisha kikao cha harusi tu kwa kuwa HSefu ni lazima ashauriane na Lipumba sio Mtatiro ambae hatambuliwi
Kwahiyo Historia inatamani kujirudiaKumbuka kuwa Maalim Seif alimsukumia nje James Mapalala mwanzilishi wa CUF