Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Monduli ana nini?? Baada ya kukatwa sisiemu akaenda chadema straight kutaka urais, hii unaitaje??
Umeingia kwenye mtego kirahisi kweli kaka! Nimeamini ule utafiti wa 1 percenter katika matumizi ya akili.
 
Hata Jpm Kwa Kusaidiwa Na Dola Anawapelekesha Kweli Wapinzani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni wapi pamepata kukusanya wafuasi wa chama chochote wa nchi nzima?! Kukata mzizi wa fitina, tuwashauri Maalim Seif na Mtatiro waende pale HQ...simple like that!
Wakishaenda nini kitatokea? Au unataka wale wahuni na polisi wanaomlinda Lipumba wawaletee vurugu ndio ufurahi? Hivi Lipumba alivyoniuzulu CUF haikuwa na wafuasi ? Ndio maana nimekuambia kama ni wafuasi hata Diamond anao na wewe ni mmoja wa wafuasi wake!
 
Atawaongoza akina nani?wale aliowanunua Jana ili wampe support. Ni wapita njia tu.
 
duh, inabidi watafute njia ya kudeal na huyu jamaa kabla hajaleta further damage
Cause hali ikiendelea hivi, chama kinaonekana kiko on the edge ya kuparanganyika
Ila this prof should REALLY be ASHAMED of himself kwa huu ujinga anaofanya na kukubali kupelekeshwa kuharibu/dhoofisha chama ambacho amekuwa nacho na kukitumikia for years.
shida iko kwa wale waliyotaka kuinunua cuf kama walivyofanya kwa chadema. vyama kampuni huweza kuuzwa. kama alivyofanya mbowe kuuza cdm nyuma ya mgongo wa dr. slaa, seif alipiga dili kuuza au kukodisha cuf nyuma ya mgongo wa proff lipumba. kwa seif proff lipumba alimuona kama mwanasesere tu. sasa ndio atajutia makosa yake. bila shaka cuf huenda ikaanza safari ndefu kuelekea kua chama cha siasa badala ya kampuni ya kuingizia kipato baadhi ya watu wakiongozwa na seif shariff.
 
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea siasa za nchi hii...unaweza ukaambiwa DK slaa naye ni katibu mkuu halali..!
 
Lipumba si Mwenyekiti wa CUF,alijiudhuru mwenyewe kwa hiari yake na barua ya kujiudhuru kwake ipo,kilichofanywa na Mutungi ni harakati zake binafsi za kuisaka tuzo,baada ya kusikia Jecha kuamriwa apewe tuzo kwa kuipora CUF ushindi wake.

Tuzo za usariti na uvunjaji katiba zitaliangamiza Taifa.
lipumba alimuandikia katibu mkuu kusudio la kujiuzulu lakini katibu mkuu akamwambia asubiri atamjibu kama amekubali au lah...lakini hakumjibu wala hakupeleka barua kwa msajili kama taratibu zinavyo hitaji hivyo lipumba akatengua ile barua na kurudi mzigoni.
 
Usipate shida sana mkuu. Ni suala la ZANZIBAR na uchaguzi uliovurugwa na Jecha. Hapa lengo ni kuifuta CUF kama ni chama cha siasa ili suala la uchaguzi Zanzibar liwe halina mashiko kwa Maalim Seif as his political party will be no longer existing!

Kitakachofata kutoka hapo ni Independent Zanzibar. Mark my words!
Brilliant observations. Nimekusoma vema mkuu
 
Hana lolote Prof.hawezi kuitosa meli baharini prof. Hawezi kula matapishi take prof. Anatumika kuua movie ya zanzibar
1. Kawaandikia barua ya kujiuzuru hawajamjibu so why asirudie nafasi yake?

2.badala ya kumjibu kama wamekubali ama wamekataa kujiuzuri kwake wao wanakaaa wanaanza kuteuana na kupeana vyeo.

3. Sasa ni za ya mwenyekiti kusafisha chama, aanze na Mtatiro then maalimu Seif.
 
Jamani msajili wa vyama hana mamlaka kisheria kumrejesha anaweza kushauri ndio maana nwisho wa barua take amesisitiza mi ushauri.

Pili tayari taratibu za kichama zilifanywa hivyo ilikua no busara kwa Lipumba kusubiri busara za viongozi waliopo aidha kukubali ushauri huo am a kuukata ndipo achukue hatua. Alichokifanya mi saw a na uhaini na kitendo kinaweza pia kuchukuliwa kama uvunjifu wa sheria taratibu na kanunuzi za chama.

Prof. Lipumba anapaswa kufahamu atafanya Kazi na watu ambao ndio nguzo za chama kwa vurugu zinazoendelea no kuua chama alichokijenga mwenyewe kwa miaka mingo amepigwa virungu, mahakani na kwengine sasa anaharibu yote.

Yeti mach
 
Dogo ukawa ilishakufa tangu mmemkaribisha fisadi mkuu!
Wewe Mimi nimewashauri wabunge Wa cuf wanaojua humuhimu Wa ukawa unajua kisa ukawa ndio maana wanampa nguvu kiasi hiki eti Leo msajili ndio anapanga Nani awe Nani sasa kamati kuu ya nini
 
CUF walitegewa mtego nao wameingia Mzima mzima, wangejadili Barua ya Lipumba Mapema na kuipitisha Mara baada ya kujiuzulu haya yote yasingetokea.
Baraza la Wawakilshi nalo linajiandaa kufanya Mabadiliko ya Sheria Mgombea Urais wa Zanzibar asizidi Miaka 70 hivyo Seif atafute Biashara nyingine
 
Awateue wale walioruka juu ya milango watamsaidia kueneza chama nchi nzima
 
Kwanini lisiwekwe wazi jambo hili ili tuelewe? Seif anawaburuzaje wana CUF wa bara? Lipumba ana tatizo kubwa la ubaguzi na ushahidi upo kwamba anafanya siasa za udini. Pepo hilo la ubaguzi alilonalo sasa linampeleka kuanzisha ubaguzi mwingine wa ubara na uvisiwani. CUF chini ya Lipumba kitakuwa chama cha ajabu sana. Kwa ufupi Profesa ameamua kutumika mazima kuua upinzani kwa maslahi yake binafsi!

Unaweza kuwa hunielewi
sisemi Lipumba hatumiki
au Lipumba anafaa....ninachosema ni kuwa ana wafuasi
na hao wafuasi wana 'madai' yao.....

Sio Seif au Mtatiro anaeonekana kujali hao wafuasi
wao wako tayari Lipumba aondoke na hao wafuasi....
ndo maana huu mgogoro unazidi kukua
 
Lipumba si Mwenyekiti wa CUF,alijiudhuru mwenyewe kwa hiari yake na barua ya kujiudhuru kwake ipo,kilichofanywa na Mutungi ni harakati zake binafsi za kuisaka tuzo,baada ya kusikia Jecha kuamriwa apewe tuzo kwa kuipora CUF ushindi wake.

Tuzo za usariti na uvunjaji katiba zitaliangamiza Taifa.
lipumba alimwandikia katibu mkuu barua ya kujiuzulu na katibu mkuu akamwambia asubiri ashauriane na wanasheria ndio atamjibu lakini hakumjibu wala hakupeleka barua ya kujiuzulu kwa Lipumba kwa msajili kama taratibu zinavyo hitaji.... sasa kabla hajakubaliwa rasmi ombi lake Prof Lipumba akatengua ile barua ambayo ilikuwa bado haijajibiwa wala kufika kwa msajili na hivyo Lipumba ameendelea kuwa mwenyekiti wa CUF hadi uchaguzi ujao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom