maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Kweli wapinzani wanaotumiwa na sisiem tetetete madaraka matamu banasafi sana Prof suka upya chama tunahitaji wapinzani ngangari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wapinzani wanaotumiwa na sisiem tetetete madaraka matamu banasafi sana Prof suka upya chama tunahitaji wapinzani ngangari
Lakini si alijiuzulu na kukiacha chama katika wakati mgumu sana! Unadhani CUF kinamhitaji Lipumba? Hebu tuwe serious angalau kidogo! yaani wale polisi waliompiga mabomu kule Mbagala ghafla wamegeuka kuwa marafiki zake kiasi cha kumsindikiza na kumlinda wakati anafanya kosa la jinai la kuharibu mali na "criminal tracepass"? Hivi kwanini kama serikali inahofia mfumo wa vyama vingi kwa kiwango hiki tusirudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja?Mtatiro kawekwa kinyume cha katiba,Lipumba anatabuliwa na katiba ya cuf
Nahisi umeya wa Ubungo na Kinondoni kuludi CCM. Mission complete chezea ccm wewe mahesabu ya mbali kabisa mkishtuka tayali zamaani wamemaliza michezo
Mimi ninachokifahamu niInaonesha hqtq utaratibu wa kujiudhuru huujui,,lipumba hakutimiza vigezo vya kisheria vya kujiudhuru
kweli picha kali sio la kulikosa hilo.
Katiba ya cuf haijui hiloLakini si alijiuzulu na kukiacha chama katika wakati mgumu sana! Unadhani CUF kinamhitaji Lipumba? Hebu tuwe serious angalau kidogo! yaani wale polisi waliompiga mabomu kule Mbagala ghafla wamegeuka kuwa marafiki zake kiasi cha kumsindikiza na kumlinda wakati anafanya kosa la jinai la kuharibu mali na "criminal tracepass"? Hivi kwanini kama serikali inahofia mfumo wa vyama vingi kwa kiwango hiki tusirudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja?
Ni wazi sasa wanamkimbia... yaani hii ni kama move la kanjibay. Lakini huo ndio ukweli.Na walisema hatarudi Buguruni...
sasa yupo Buguruni guku wao wamekimbilia Zanzibar
Kama aliwahi kuwa mwenyekiti na Cuf haikufa iweje ife leo?kama ivyo ndivyo basi acha ifeCUF kurudi kwa lipumba ndio inajimaliza. maamuzi ya wanachma hayaheshimiwi, msajili wa vyama ndio ana dictate nani awe mwenyekiti! AIBU
Ni wapi pamepata kukusanya wafuasi wa chama chochote wa nchi nzima?! Kukata mzizi wa fitina, tuwashauri Maalim Seif na Mtatiro waende pale HQ...simple like that!Ina maana lile group alilokuja nalo lipumba pale makao makuu ndio wafuasi wa CUF nchi nzima? Mbona hata Diamond sio mwanasiasa lakini anao wafuasi wengi sana...Hata leo DR.Slaa akirudi Chadema atapata wafuasi..
Baraza kuu linaitishwa na katibu mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti amabae ni Lipumba
Kina mtatiro wanaenda kuitisha kikao cha harusi tu kwa kuwa HSefu ni lazima ashauriane na Lipumba sio Mtatiro ambae hatambuliwi
Sawa tulikubali lipumba ni kikwazo lakini safari hii ni kikwazo ZAIDI maana nyoka amepita huko na huko na sasa Yuko NDANI ya nyumba tena kwa mara nyingine tenaHuyu mtu ni hatari ya zaidi tunavyozani.......CUF watafute njia sahihi ya kumdhibiti.
Ni kweli kaka anachokitafuta atakipata soon.HUYO PROF PUMBA .....MPUUZ KWELI ANATUMIWA NA CCM KUKIANGAMIZA CUF..ILA ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA
OVA
Kwanini lisiwekwe wazi jambo hili ili tuelewe? Seif anawaburuzaje wana CUF wa bara? Lipumba ana tatizo kubwa la ubaguzi na ushahidi upo kwamba anafanya siasa za udini. Pepo hilo la ubaguzi alilonalo sasa linampeleka kuanzisha ubaguzi mwingine wa ubara na uvisiwani. CUF chini ya Lipumba kitakuwa chama cha ajabu sana. Kwa ufupi Profesa ameamua kutumika mazima kuua upinzani kwa maslahi yake binafsi!Siasa za Tanzania zina mengi sana
Lipumba kabla hajajiuzulu aliwahi kutaka kujiuzulu zamani
sababu ni Seif kuwaburuza wana CUF wa bara
na wana CUF wa bara wanalijua hilo
alianza kupata 'die hard fans' kwa hilo..kitendo cha juzi Seif kumchagua
Mtatiro kimezidisha tatizo......wao hawataki 'mwenyekiti kibaraka'
na Seif kafanya exactly wasichotaka.....na sasa kila kitu kinaamuliwa Zanzibar...
Hili la kusema Lowassa ndo sababu nil la juu juu sana...
Hawa wafuasi wa Lipumba wana mengi sana...ndo maana huu mgogoro unazidi kuwa mkubwa....
Kwahiyo unataka kusema ni KARMA!?Kumbuka kuwa Maalim Seif alimsukumia nje James Mapalala mwanzilishi wa CUF