Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Na mpaka tumfikie maalimu seif, maana alijaza maruhani wake pale Ubungo plaza, tunahitaji maelezo yake ya kina, kwa nini alitenda vile?
 
Dats how it is...kuna tatzo ndani kwa ndani cuf penyewe
 
Umesahau, kuwa professor aliondoka cuf kwa kuchukia tendo la kuleta mgombea urais el ambaye kipindi chote mlimtuhumu kuwa fisadi. Tatizo liko wapi prof. kukwepa kula matapishi ya kuenzi mtuhumiwa wa ufisadi?
 
Kwa jinsi mambo yanavyoendea siasa za nchi hii...unaweza ukaambiwa DK slaa naye ni katibu mkuu halali..!
Weee hawawezi kuthubutu, CHADEMA namba ingne, si tutamalizia ule mkono wake m1 uliobaki
 
Reactions: PNC
Niliwahi kuuliza humu CUF Lipumba yuko peke yakeau ana wafuasi?

naona kumbe kina Mtatiro hawajui wanachofanya


Halafu Mtatiro nae kahamia Zanzibar?
Hahahahaa The Boss huu mchezo hauhitaji hasira.. wakina Mtatiro badala ya kukaa pembeni ndio kwanza amehamia Zanzibar kutumika vizuri na Sefu...
 
Mimi nilishaacha kujitambulisha kama msomi mbele ya jamii,maana mambo tunayofanya wasomi wa nchi hii afadhali ata wazee wetu ambao walisoma ngumbaro.
 
Kweli mzaha mzaha hutumbua usaha, CUF hiyooo inazamishwa kwenye Mkondo wa Nungwi

[HASHTAG]#SiasaMchezoMchafu[/HASHTAG]
 
CCM pekee ndo chama imara Tanzania, wengine malengo binafsi yamewatawala. Msakila KABENDE
 
Next move Lipumba atamtimua Seif. Kama mwenyekiti wa chama uwezo wa kumtimua katibu mkuu anao eg Mbowe vs Slaa/ Zitto.
 
Huyu mzee simuelewi kabisa si ni profesa mkubwa kabisa mbona anafanya mambo ya kiundawazimu kabisa,ameamua kukiua chama maana mpk sasa chama kitakuwa kimegawanyika kwa upuuzi anaofanya huyu mzee
 
Mtu anaejielewa na alieelimika hawezi kusapoti chadema ya sasa
 
Cuf kuweni makini. Wanataka shida zitokee ili waweze kukifutia usajili chama chenu.
Ndio maana nimesema humu MUTUNGI na watawala wenzie wanajua walichofanya...watachaa wavuruganeee..Mwisho ZNZ watakuwa na CUF yao na Tanganyika vilevile ikifikia hapo niambie kitakachofuata maana hakuna Sheria itakayoruhusu hayo mambo...
 
Kwani wewe unafikiri hili Li-Pumba lina akili. Kaandika barua ya kujiuzulu na kuikimbia ofisi. Kama aavyosema kuwa hajajibiwa barua yake, mbona alikuwa hhudhurii kazini? Barua yake haikuomba aruhusiwe kujiuzulu, alitamka kujiuzulu na ikfuatiwa na safari ya nje ya nchi ya kazi zake binafsi. Muajiri gani atakayekuruhusu kutokuwepo ofisni kwa miezi zaidi ya tisa halafu uamaue tu kurudi ofisini. Hata hizo sheria za kazi zinaruhusu? Huyo msajili wa Chama angepelekewa audited account ya matumizi ya chama na kuonesha expenses za Li-Pumba wakati ana haha mitaani angezikubali kwa vile on his own words kwamba Li-Pumba bado aliendelea kuwa mwenyekiti wa Chama? CUF kuitisha uchaguzi mpya wa kum replace haikuwa na maana kwamba resignation yake imeshakubalika?
 
Baraza kuu linaitishwa na katibu mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti amabae ni Lipumba
Kina mtatiro wanaenda kuitisha kikao cha harusi tu kwa kuwa HSefu ni lazima ashauriane na Lipumba sio Mtatiro ambae hatambuliwi
Wewe upo CUF?
 
Hata kama itatokea Chama Cha Wananchi CUF kikaparaganyika hakuna mwanachama wa CUF atakayekuwa na mapenzi ya dhati kwa chama tawala.Wengi wataishi bila uelekeo lakini litakapotokea suala la C kura lazima watamwagikia upande wa upinzani.Na isitoshe watu wengi wameshaonja utamu wa Mabadiliko.Mabadiliko hayaepukiki kwa sababu dunia hairudi nyuma.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…