Umeingia kwenye mtego kirahisi kweli kaka! Nimeamini ule utafiti wa 1 percenter katika matumizi ya akili.Monduli ana nini?? Baada ya kukatwa sisiemu akaenda chadema straight kutaka urais, hii unaitaje??
Usitetee uhuni kwa kupotosha katiba ya CUF. Tuwekee hapa hiyo katiba inayoruhusu huo uhuni unaofanyika!Katiba ya cuf haijui hilo
Wakishaenda nini kitatokea? Au unataka wale wahuni na polisi wanaomlinda Lipumba wawaletee vurugu ndio ufurahi? Hivi Lipumba alivyoniuzulu CUF haikuwa na wafuasi ? Ndio maana nimekuambia kama ni wafuasi hata Diamond anao na wewe ni mmoja wa wafuasi wake!Ni wapi pamepata kukusanya wafuasi wa chama chochote wa nchi nzima?! Kukata mzizi wa fitina, tuwashauri Maalim Seif na Mtatiro waende pale HQ...simple like that!
Nimewapenda CCM,Always Thinking and Planning of Ahead Others,japo Muda Mwingine Huwa Wanaangukia Pua!Ndo maana vikao vya ndani viliruhusiwaaaaaaa kwakweli picha laendelea yaheee
Si Vikao vya Ndani Vimeruhusiwa?Na polisi wanakuwa sawa kuzuia hicho kikao
Matamu Kama AsaliKweli wapinzani wanaotumiwa na sisiem tetetete madaraka matamu bana
Kwahiyo hivyo vigezo aliviacha maksudi!! Lipumba amekuwa MZIMU unao enda na kurudi. Lipumba ni Kikwazo tutafute option ya KUMKABILI.Inaonesha hqtq utaratibu wa kujiudhuru huujui,,lipumba hakutimiza vigezo vya kisheria vya kujiudhuru
shida iko kwa wale waliyotaka kuinunua cuf kama walivyofanya kwa chadema. vyama kampuni huweza kuuzwa. kama alivyofanya mbowe kuuza cdm nyuma ya mgongo wa dr. slaa, seif alipiga dili kuuza au kukodisha cuf nyuma ya mgongo wa proff lipumba. kwa seif proff lipumba alimuona kama mwanasesere tu. sasa ndio atajutia makosa yake. bila shaka cuf huenda ikaanza safari ndefu kuelekea kua chama cha siasa badala ya kampuni ya kuingizia kipato baadhi ya watu wakiongozwa na seif shariff.duh, inabidi watafute njia ya kudeal na huyu jamaa kabla hajaleta further damage
Cause hali ikiendelea hivi, chama kinaonekana kiko on the edge ya kuparanganyika
Ila this prof should REALLY be ASHAMED of himself kwa huu ujinga anaofanya na kukubali kupelekeshwa kuharibu/dhoofisha chama ambacho amekuwa nacho na kukitumikia for years.
lipumba alimuandikia katibu mkuu kusudio la kujiuzulu lakini katibu mkuu akamwambia asubiri atamjibu kama amekubali au lah...lakini hakumjibu wala hakupeleka barua kwa msajili kama taratibu zinavyo hitaji hivyo lipumba akatengua ile barua na kurudi mzigoni.Lipumba si Mwenyekiti wa CUF,alijiudhuru mwenyewe kwa hiari yake na barua ya kujiudhuru kwake ipo,kilichofanywa na Mutungi ni harakati zake binafsi za kuisaka tuzo,baada ya kusikia Jecha kuamriwa apewe tuzo kwa kuipora CUF ushindi wake.
Tuzo za usariti na uvunjaji katiba zitaliangamiza Taifa.
Brilliant observations. Nimekusoma vema mkuuUsipate shida sana mkuu. Ni suala la ZANZIBAR na uchaguzi uliovurugwa na Jecha. Hapa lengo ni kuifuta CUF kama ni chama cha siasa ili suala la uchaguzi Zanzibar liwe halina mashiko kwa Maalim Seif as his political party will be no longer existing!
Kitakachofata kutoka hapo ni Independent Zanzibar. Mark my words!
1. Kawaandikia barua ya kujiuzuru hawajamjibu so why asirudie nafasi yake?Hana lolote Prof.hawezi kuitosa meli baharini prof. Hawezi kula matapishi take prof. Anatumika kuua movie ya zanzibar
Wewe Mimi nimewashauri wabunge Wa cuf wanaojua humuhimu Wa ukawa unajua kisa ukawa ndio maana wanampa nguvu kiasi hiki eti Leo msajili ndio anapanga Nani awe Nani sasa kamati kuu ya niniDogo ukawa ilishakufa tangu mmemkaribisha fisadi mkuu!
CUF ni chama cha kitaifa, usidhani CUF chama cha kikanda kama vyama vingine.Atawaongoza akina nani?wale aliowanunua Jana ili wampe support. Ni wapita njia tu.
Kwanini lisiwekwe wazi jambo hili ili tuelewe? Seif anawaburuzaje wana CUF wa bara? Lipumba ana tatizo kubwa la ubaguzi na ushahidi upo kwamba anafanya siasa za udini. Pepo hilo la ubaguzi alilonalo sasa linampeleka kuanzisha ubaguzi mwingine wa ubara na uvisiwani. CUF chini ya Lipumba kitakuwa chama cha ajabu sana. Kwa ufupi Profesa ameamua kutumika mazima kuua upinzani kwa maslahi yake binafsi!
lipumba alimwandikia katibu mkuu barua ya kujiuzulu na katibu mkuu akamwambia asubiri ashauriane na wanasheria ndio atamjibu lakini hakumjibu wala hakupeleka barua ya kujiuzulu kwa Lipumba kwa msajili kama taratibu zinavyo hitaji.... sasa kabla hajakubaliwa rasmi ombi lake Prof Lipumba akatengua ile barua ambayo ilikuwa bado haijajibiwa wala kufika kwa msajili na hivyo Lipumba ameendelea kuwa mwenyekiti wa CUF hadi uchaguzi ujao.Lipumba si Mwenyekiti wa CUF,alijiudhuru mwenyewe kwa hiari yake na barua ya kujiudhuru kwake ipo,kilichofanywa na Mutungi ni harakati zake binafsi za kuisaka tuzo,baada ya kusikia Jecha kuamriwa apewe tuzo kwa kuipora CUF ushindi wake.
Tuzo za usariti na uvunjaji katiba zitaliangamiza Taifa.