Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
hii kiti si ya kutumia nguvu kujua nn kinaendelea.....yan urudishwe ofisin kwa nguvu ya jeshi??....ambalo siku zote huwa linapinga harakati za upinzani??......yana mwisho lakin....na kweny hili mwisho hauko mbalii
 
Nadhani lengo lao ccm limetimia...wanataka kumtumia lipumba kuharibu kura za umeya kinondoni na ubungo...kaa chonjo
 
Naam,
Kazi aliyotumwa na Wanalumumba kupitia Msajili wa Vyama vya Siasa ya Kuipasua pasua CUF ndio anaianza kwa Njia hii,
 
Ukielewa maana ya SIASA huwezi kuumiza kichwa juu ya hili.Refer mabadilikooooooooooooooo.
 
Yaliyoipata NCCR ya Mrema.
 
Hivi huko CUF hakuna wanaume jamani? Mnakubali kuchezewa hivi kw anini?
 
Profesa anadai haki yake kwani kadhalilishwa sana na Sefu...

Hujiulizi kwanini vikao vinafanyikia Zanzibar na sio Bara?

Sefu atamjua tu Profesa maana hajui mziki wake. Mziki wa Profesa sio wa Dr Slaa ambaye aliiacha Chadema akaenda ughaibuni...Profesa ni Jino kwa Jino hasaaa yaani ni Ngangari kinomaaaa...
 
Huu mutungi uliopasuka jana utatuletea shida kwenye nchi ndo tatizo la kuteuliwa hili huyu atakuwa kahukumu watu kibao kimakosa mungu tuepushe na viongozi dizaini hii
 
Tanzania ni Amani Sana,Burundi huwezi kufanya kama anavyofanya lipumba yaani kesho yake tu tungeongea Mambo mengine.
 
Du!
Naona wameamua kuiua CUF. Katibu mkuu huwa anateuliwa na Mwenyekiti, kwa mantiki hiyo Lipumba anauwezo wa kumsimamisha Maalimu Seifu....
Nimecheka sana...kwahiyo MAALIM anaweza kuwekwa KANDO naziona CUF mbili za Tanganyika na Zanzibar na Ndugu MUTUNGI kwakuwa anajua alichoanzisha anasogeza Stuli yenye POPCORN....watawala nao wanagida MVINYO kwamba malengo yanakaribia kutimia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…