Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Anaudalilisha uprofesa wake kwa kuhangaika hangaika !!!!!!!!!!
 
D pass hongera sana, mi nilipata A lakini nalima viazi, haijanisaidia...basi tu tunachangamsha baraza
A[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

ok by ze way ulitaka ufanye nin.???
 
He anaenda kuharibu na huko..kweli siasa hazina mwenyewe..atakuwa amemhonga zito bilioni ngapi?? Kweli anaenda act ilhali wanajua kabisa huyu uprofesa wake ni kuharibu vyama vya upinzani.!!!? Ok nafikiri huko nako atabatizwa upya ya kale kutoka cuf àachane nayo awe mpya sasa...karibu act baba lipumba uwaharibie huku ukawa umeshindwa. Nenda kwa wachanga wa siasa upate na uenyekiti halafu ugombee uraisi kwa miaka ishirini nafikiri itakutosha kuongeza ruzuku kwenye chama.
 
Cuf bara itakua imekufa,tatizo jipya litaibuka upande wa chadema,ikumbukwe chadema walitumia nguvu nyingi sana kuhakikisha ACT wazalendo hainyanyuki,lakini Lipumba ana wafuasi wengi sana kuliko zitto yeye wafuasi wake aliwaacha chadema
 
Tusubiri tuone..hii bado ni season one
 
Sio kweli jaman Jana kwenye matukio ya wiki alisema yeye bado ni mwenyekiti wa Cuf na si vinginevyo
 
Ni vema akahamia huko na kuwa mwenyekiti wa chama. Bila shaka wafuasi wake watamfuata: akina Magdalena Sakaya, Habib Mnyaa; and the like.
 
Lipumba karibu ACT wazalendo kama hizi tetesi ni za kweli.

Ni haki yako, katiba inakuruhusu.....usihadaike na kejeli.

Wanasahau yafuatayo.

Walimsema Lowassa fisadi, wakamchukua na kumpa nafasi ya kugombea urais bila ya mchakato wa demokrasia.

Walisema Sumaye zero, leo hii ndiye mgombea mtarajiwa baada ya Lowassa.

Wafuasi wa CCM wenye tuhuma wote wana uhakika wa kuhamia cdm na kupewa nafasi za uongozi ( hakuna masimango)

Karibu Lipumba msimamo wako wa kumkataa Lowassa kwa ufisadi wake ndio chanzo cha mashambulizi yote juu yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…