bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
ujinga ushaanza kuingia ilikuichafua thread hiiwapanda treni hao, waacheni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ujinga ushaanza kuingia ilikuichafua thread hiiwapanda treni hao, waacheni!
Atagombea ubunge 2020 ili ACT kiongeze wabunge, wawe wawili.Alipokuwa CUF alishindwa kuwa na mbunge hata mmoja bara leo ataongeza nini Act Wasaliti?
Nyie akina ZZK beware of the multifaced politicians!! aende tu CCM basiKuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Zitto na Prof. Lipumba leo mnawaita Mbwa na Paka? ama kweli hamana shukrani, fedheha hizi ndizo Dr. Slaa hakupenda akutane nazo kabisa.Putting a dog and a cat in the same cage aint wise enoigh!
ushahidiMsaliti Ni Mbowe kwa kumchukua fisadi papa na namba moja Tz mzee wa Richmonde
Kwani anaenda chama gani, ACT Wasaliti?Bora angeenda Ccm.
ACT-Wazalendo pazuri ili waimarishe upinzani, hawa wachagga tumeshawachoka.Nyie akina ZZK beware of the multifaced politicians!! aende tu CCM basi
yap, kwa wabaya wenu, anakwenda kuongeza nguvu ili 2020 wawe kambi rsmi ya upinzani bungeni. Hongera zake Lipumba.Kwani anaenda chama gani, ACT Wasaliti?
CUF kimewabakia vibaraka, Mtatiro sasa hivi akiitwa na Maalim Seif au LOWASSA anakimbia kama mtoto.CUF si Mama yangu wala Baba yangu!!
Atamzidi Zzk alivyoongeza nguvuHakika hata kama watu wapige vijembe kiasi gani ila ukweli ni kwamba Lipumba ataongeza nguvu ACT kwa kiasi kikubwa sana.
Asikike wa nini? ya CUF yanamhusu?Ndo maana Zitto hasikiki tena, yuko kimya, hahaa kazi ipo. Njaaa mbaya sana
na sidhani kama kuna UKAWA tena hapo.kumekucha sasa
tukiambiwa Afrika tuna uloo wa madaraka tunabisha
Majimbo ya CUF yote , 2020 yanakwenda ACT.Atagombea ubunge 2010 ili ACT kiongeze wabunge, wawe wawili.
CUF wao nani atagomea, LOWASSA?Huko kutawaka moto wote wanataka kugombea urais muda utaamua tusubiri mtifuano mwingine