Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Muhongo ni kichwa mende sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na uwakilishi bado halijawa takwa la kisheria kwa mujibu wa sheria yetu ya madini. Sheria inabidi irekebishwe ili hilo liwe lazima,mwekezaji atake asitake!Aulizwe Kabudi na kina Mwendazake walioileta 😁😁
Japo Sina uhakika Kwa anachosema Kwa sababu unaposema hatuingii kwenye Management na wakati Huwa zinaundwa kampuni tanzu Zenye uwakilishi wa Serikali kwenye Management inaleta mkanganyo..
Nimemsikia Dotto akisema tutakuwa na uwakilishi kwenye management ya kampuni tanzu Kwa level zote.
Haisaidii kivipi wakati ndio unaweza husika kwenye maamuzi. Na sio menejimenti Bali Bodi Ili hata investment decisions, Transfer pricing, Capital flights zote utaziona zinavyo flow so utalinda maslahi ya taifa.Kuhusu "kuliwa", hilo lipo wazi; lakini hata hiyo kuwa ndani ya "management" haisaidii chochote!
I guess ulimaanisha Mwanyika? Huyo alikua muajiriwa wa Barrick wenyewe. Hapa tunaongelea Serikali kuwepo kwenye vikao vya maamuzi. Yes tutaibiwa ila at least tutakua na taarifa kuliko Sasa ambapo hata wakiunderestimate Mapato hakuna anayejua zaidi tunapewa mgao wa 16% kazi imeisha.Akina Mnyika si walikuwa ndani ya management' ya Acacia, tukawa tunapigwa hadi Acacia' wenyewe 'guilty conscious' ikawalemea!
Yaani wewe unadhani kwamba Kampuni za Madini zinapotupiga serikali zao hazijui au hazibariki hizo ishu kwa mlango wa nyuma?.Kuhusu "kuliwa", hilo lipo wazi; lakini hata hiyo kuwa ndani ya "management" haisaidii chochote! Akina Mnyika si walikuwa ndani ya management' ya Acacia, tukawa tunapigwa hadi Acacia' wenyewe 'guilty conscious' ikawalemea!
Kwa upande wa pili, haya makampuni huko kwao yanalazimika kutoa taarifa sahihi kuhusu shughuli zao na mapato yao kwa wenye hisa zao. Kwa hiyo siyo kazi ngumu kufuatilia kujua uhalisia wa mapato ya makampuni yenyewe.
Sema tu hatuna 'interest' tukishapewa fungu letu wanalopata watu maalum ndani ya serikali yetu; watu kama huyo huyo Mhongo mwenyewe!
Punguza utoto, hivi unajua TPDC ilipewa 20% ya hisa kwenye kuchimba gesi ya mnazi bay. Sasa JPM anakuja na 16% mnashangilia? Mbona nchi Ina wajinga wengi. Umeambiwa Tanzanite one tuna zaidi ya hiyo asilimia 16% Sasa kivipi Tena JPM kaboresha. Yale Yale tu zaidi tumerudi chini.Tulipo sasa kimkataba ni pazuri sana kuliko wakati wa swahiba wake JK.
Hata Gesi ilichimbwa kwa ubia, na ndio hapo tuna 20% nani aliyekudanganya subsidiaries au joint venture zimeanza na JPM?. Mbaya zaidi kawapa 84% zote huku hatuna hata board member ndio upuuzi gani huo?pia JPM alienda mbali zaidi kwa kuweka sharti la kuwa na kampuni ya pamoja ya ubia katika mafini mfano kampuni ya Twiga.
Sorry 4 thatUlipotaja walokole umenihamisha, kumbuka hata gwajiboy ni mlokole
Sasa mnyika na zero yake ya form six anajua Nini. Si watamburuza tuKuhusu "kuliwa", hilo lipo wazi; lakini hata hiyo kuwa ndani ya "management" haisaidii chochote! Akina Mnyika si walikuwa ndani ya management' ya Acacia, tukawa tunapigwa hadi Acacia' wenyewe 'guilty conscious' ikawalemea!
Kwa upande wa pili, haya makampuni huko kwao yanalazimika kutoa taarifa sahihi kuhusu shughuli zao na mapato yao kwa wenye hisa zao. Kwa hiyo siyo kazi ngumu kufuatilia kujua uhalisia wa mapato ya makampuni yenyewe.
Sema tu hatuna 'interest' tukishapewa fungu letu wanalopata watu maalum ndani ya serikali yetu; watu kama huyo huyo Mhongo mwenyewe!
Huyu prof ninikilimtoa marambili katika wizara hii itumuamini akisemacho nahisi katika maprof vishoka wamo nahuyu anaweza kuwa niKama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga.
Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa bila kuwa ndani ya management ya kampuni hizi za madini zinazowekeza kwetu, hii asilimia 16 share haitotufaa kitu chochote. Maana hawa watu watu watakuwa wana under declare kiasi cha pesa wanachopata, wewe kazi yako itakuwa kusubiri mgao tu, tena watakaoamua wao!.
Tunahitaji mjadala wa kitaifa juu ya madini, na kuanzia sasa serikali iache kuingia mikataba mipya ya madini mpaka Watanzania tutakapojiridhisha kuwa haya mambo sasa tunayajua na kuyaelewa vizuri. So far hadi sasa , Serikali yetu haijui vizuri inafanya nini katika suala la madini.
1. Tumepigwa kiasi cha kutosha kwenye dhahabu.
2. Tumeingia mkataba mbovu ajabu wa madini ya Nickel huko Kabanga.
3 .Na juzi hapa tumeingia mkataba mbovu kwenye madini ya Rare earth metals.
Sikiliza hii clip ya Profesa Muhongo na John Heche wakizungumzia jambo hili la madini.
View attachment 2604252
Huyu Prof. Muhongo alikuwa waziri na hakufanya vizuri, yawezekana hata yeye aliwahikushiriki Kwa namna Moja ama nyingine kwenye mikataba mibovu anayosema. Yaani huyu ni msomi ila sio kiongozi mzuriKama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga.
Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa bila kuwa ndani ya management ya kampuni hizi za madini zinazowekeza kwetu, hii asilimia 16 share haitotufaa kitu chochote. Maana hawa watu watu watakuwa wana under declare kiasi cha pesa wanachopata, wewe kazi yako itakuwa kusubiri mgao tu, tena watakaoamua wao!.
Tunahitaji mjadala wa kitaifa juu ya madini, na kuanzia sasa serikali iache kuingia mikataba mipya ya madini mpaka Watanzania tutakapojiridhisha kuwa haya mambo sasa tunayajua na kuyaelewa vizuri. So far hadi sasa , Serikali yetu haijui vizuri inafanya nini katika suala la madini.
1. Tumepigwa kiasi cha kutosha kwenye dhahabu.
2. Tumeingia mkataba mbovu ajabu wa madini ya Nickel huko Kabanga.
3 .Na juzi hapa tumeingia mkataba mbovu kwenye madini ya Rare earth metals.
Sikiliza hii clip ya Profesa Muhongo na John Heche wakizungumzia jambo hili la madini.
View attachment 2604252
JPM hakuanzisha mikataba mipya alirekebisha mikataba hiyo hiyo upande wa madini ambayo hao uaowasifia wakina Muhongo na JK ndio waliyoiingia hakukuwa na kampuni ya ubia katika madini kati ya wawekezaji na serikali lakini JPM aliweza kuingiza hicho kipengele. Baada ya marekebisho yaliyofanywa na JPM mapato ya mafini yaliongezeka maradufu na hata sasa yako juu, Hiyo ni empirical evidence JPM aliexcel katika madini na data za mapaao zipo na zimekuwa zikisomwa kila mwaka bungeni. Hiyo 16% ni undiluted share ambayo ni ziada ambayo tunapata licha ya mapato mengine tunayopata na kufanya tunachopata kuwa kikubwa zaidi.Punguza utoto, hivi unajua TPDC ilipewa 20% ya hisa kwenye kuchimba gesi ya mnazi bay. Sasa JPM anakuja na 16% mnashangilia? Mbona nchi Ina wajinga wengi. Umeambiwa Tanzanite one tuna zaidi ya hiyo asilimia 16% Sasa kivipi Tena JPM kaboresha. Yale Yale tu zaidi tumerudi chini.
Hata Gesi ilichimbwa kwa ubia, na ndio hapo tuna 20% nani aliyekudanganya subsidiaries au joint venture zimeanza na JPM?. Mbaya zaidi kawapa 84% zote huku hatuna hata board member ndio upuuzi gani huo?
STAMIGOLD zamani Tulawaka. Yaweza kuwa mfano wa unachokiwaza.
Hao waaminifu tunawapate? kama Ubunge tu watu wanadanganya itakuwa hao watu chief.Prof. Muhongo is a good lecturer, tatizo akiingia kwenye system, huwa tunashindwa kuona impacts za yale ayasemayo, infact ni lazima Tanzania iwe na uwakilishi wa watu waaminifu kweli kweli na walokole ndani ya makampuni haya KATIKA KULINDA MASLAHI YA TAIFA LETU,NA HAKI ZAKE STAHILI. NO WAY OUT.
Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga.
Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa bila kuwa ndani ya management ya kampuni hizi za madini zinazowekeza kwetu, hii asilimia 16 share haitotufaa kitu chochote. Maana hawa watu watu watakuwa wana under declare kiasi cha pesa wanachopata, wewe kazi yako itakuwa kusubiri mgao tu, tena watakaoamua wao!.
Tunahitaji mjadala wa kitaifa juu ya madini, na kuanzia sasa serikali iache kuingia mikataba mipya ya madini mpaka Watanzania tutakapojiridhisha kuwa haya mambo sasa tunayajua na kuyaelewa vizuri. So far hadi sasa , Serikali yetu haijui vizuri inafanya nini katika suala la madini.
1. Tumepigwa kiasi cha kutosha kwenye dhahabu.
2. Tumeingia mkataba mbovu ajabu wa madini ya Nickel huko Kabanga.
3 .Na juzi hapa tumeingia mkataba mbovu kwenye madini ya Rare earth metals.
Sikiliza hii clip ya Profesa Muhongo na John Heche wakizungumzia jambo hili la madini.
View attachment 2604252
tunasubiri maandamano tuvunje ngoko.TISS mko wapi? Mbona nchi inapotea?
Muhongo anazungumza hayo kwa sababu yeye kwa sasa hayupo kwenye inner circle ya Asali !! Mwalimu alikataa madini yasichimbwe mpaka watanzania wengi wapate elimu ya juu ili wajue nini wanatakiwa wafanye kuhusu madini yao !! Lakini kinyume chake ndicho kinachofanyika eti wanajifanya hawajui nini wafanye pamoja na elimu walizopewa kwa gharama za Nchi !!Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga.