Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

MUNGU w mbinguni alijubu .....mtake mistake huo ndio ukweli
 
Ni kawaida. Walikufa Manabii itakuwa Magufuli. Aache kulia lia. Mi naamini ana uwezo mzuri wa kupiga pesa bado. Ai lazima awe CAG. Magufuli keshakuwa udongo.
Acha ateme nyongo ili siku ziende.
Si umesema ni sahihi mtu kuomba dua ili mtu afe sasa wewe tena unakana ndio nimekwambia kwa nini usijiombee na wewe dua uishi milele
Aliyekuwa anaua watu na kuengua asiowapenda ili atawale milele yuko wapi?
 
Mtoa Mada swali langu kwako maana umetoa nusu , Mungu amejibu nini kwa mujibu wa dua ya Prof Assad?
 
we unafanywa nini, unakunwa hapo ulipo? Angemfukuza kazi babako ndio akili ingekurudi. Yule alikuwa mwonevu sana, libaguzi, kwanza hakuna mtanzania, alikuwa lihutu na PhD feki
we hata mwenyewe hujipendi huku JF wanakufahamu. Ni wazi unaumwa
 
huyu jamaa inaonekana ni mshamba sana , kila siku stori ile ile , kwani yeye alifanya nini cha ajabu ambacho aliyembadili hajafanya , njaA mbaya sana kwa hiyo anataka ateuliwe tena au alipwe , au anahisi ofisi ilikuwa ni mali ya baba yake
 
Profesa gani huyu anayelalama kwa ajili ya cheo cha kuteuliwa kwa miaka mitano sasa; inaonekana atalalama hadi kaburini. Ni kama vile alikatishwa mipango yake ya mbeleni kwenye cheo hicho kabla hajaanza kuitekeleza. Labda alikuwa hajaanza kula vya kutosha akanyang'anywa tonge ghafla. Angesoma sheria zote za bunge akawa anazijua. ALitolewa madarakanai kwa kufuata sheria ya Bunge. Mahakama ilisema kuwa sheria hiyo ya Bunge haikuwa halali, lakini ndiyo sheria iliyokuwepo wakati anasimamishwa. Angekuwa na busara ya kutosha angepinga sheria ile kabla haijafanya kazi dhidi yake badala ya kumlaumu mtu aliyeitumia dhidi yake.
Hivi ni sheria ndiyo haikuwa hali au kitendo na kumuondoa CAG kazini kinyume cha Katiba? Katiba iko wazi kuhusu utumishi wa CAG mara baada ya kuingia nafasi hiyo. Katiba ndiyo msahafu wa kuzingatia kuhusu kumuondoa CAG kazini Kutokufanya hivyo ni ushahidi wa uovu, hila na njama mbaya ya uamuzi wenyewe.
 
kuna watu wanadhani wao wataishi milele na jpm ndiye aliumbiwa mauti yeye peke yake
Hakuna mtu anayedhani ataishi maisha. Mbona unasema uongo wazi? Halafu yeye kwani kasema aliomba Magufuli afe? Unajua anamaanisha alijibiwa nini?
 
Hakuna Mungu wa namna hiyo Wangekufa wengi sana. Ulianza na watoa mimba ambapo kuna mtoa hela na mwenye Mimba mwenyewe na mtoaaji
Mungu anatazama kwa jicho tofauti kosa la mtu mmoja kutoa mimba kwa sababu zake binfsi ikiwa ni pamoja na kupata hiyo mimba bila kutarajia, kuihitaji na kujiaminisha kwamba hataweza kulea hicho kiumbe kitapozaliwa. Kwa muktadha huo tunayo sababu ya kuamini kuwa Mungu amejibu haraka na kwa wepesi kwa kuona kufuru na kwa kutazama idadi kubwa ya watu wake wakimlilia kutokana na maumivu yaliyosababishwana uongozi uliojitambulisha eti umetumwa na Mungu mwenyewe kuwakomboa watu wake!
 
Back
Top Bottom