Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Kwa bandiko hili Ni waz mleta mada yuko sahihi kwa alichokileta na inaonekana mnafahamiana vzr.

Mleta mada kaongea ukweli mchungu Sana .kwanza nikil tu kwakusema ww sio Mwalimu Bali Ni wewe mwenyew Afisa Elimu Kama sio ww basi Ni mtu uliyetumwa na huyo Afisa Elimu wako.

Comments kibao hapo juu zinaeleza jinsi huyo Afisa alivyo na tabia mbovu ,kwamba wote hao wanamwonea wivu?

Ushaur wa bure achen kuzifanya ofisi za serikal Kama nyumba zenu za milele ,hamjifunz kwa kina makonda na Nape saiz wanasugua benchi, hamjifunz kwa wanaotumbuliwa kila siku?

Ukiwa mtendaj mzur na ukiwa mtu wa watu sidhan Kama Kuna mtu atakuja kukuanika huku mitandaon kwa mabaya ,ukiona had mtu katika huku jua ww sio mtendaj mzur.

Kitendo tu Cha kuandikwa jf tayal Hilo Ni doa ,hujachelewa Anza kuishi vzr na walio chini yako.

Mbona watu mnapenda kujitafutia maadui kinguvu? Hao mnaowatendea unyama hamjui kesho yao watakuwa akina Nan coz maisha Ni duara.

Mfano Kuna mtu alijua Magufur atakuja kuwa Rais ? Je kama Afisa Elimu wa kipind Cha Magufur aliwah kumnyanyasa na saiz akawa hai unahis yuko na Hali gani?

Je hamkumbuk ya Jery muro kumdharirisha yule mbaba wa Tume ya uchaguz ? Saiz Nan ana cheo kikubwa kumzid mwenzie?

Plz jaman ofis vyeo vipo tu na tunapokezana ,bahat nzur huwez dumu milele hapo utatoka tu atakuja mwingine na unaowatendea ubaya hujui kesho watakuwa akina nan na mtakutana mazingira gani.

Hapa nilipo Kuna Afisa Elimu mmoja na Afisa utumishi wanapendwa balaa na watumish wao maana Ni watu wanaoheshim Sana watu walio chin yao ,wanawasaidia pale inapotakikana ,Wana customer care nzur sna. Watumish kibao wanawaombea wabak mielele ila kenge wengine wakishaachana na chak na kuanza kukalia viti vya kuzunguka wanajiona sijui akina Nan ,kumbe Ni ushamba tu unawasumbua ,alaf karne hii watu wanapiga kitabu kwa Sana tofaut na zaman ,saiz wasomi Ni kila Kona hivyo hizo nafas mzitendee haki kabla hamjapokwa na kubak na aibu
 
Narudia tena walimu wa chamwino wanaujua ukweli na sijui kwa nini watu wa maslahi yao binafsi wanaamua kumchafua mama wa watu, jiulize tu kama yupo hivyo je CWT wako wapi? TSC wako wapi? na lazima ufaulu ungeshuka ni vema kuacha chuki na kusema mambo ya kweli
 
Mnamsema huyo hivi mnafahamu afisa Elimu secondari mkoa wa Dodoma!? Mwanamama amejaa majivuno na ukali usiokuwa na sababu za msingi, ana mtreat kila mtu kama anavyowatreat walimu wake... mimi siku moja nilimjibu kuwa usiongee na mimi kama unavyoongea na walimu wako mimi sio mwalimu huwezi kunifokea utakavyo. Maafisa elimu wa Dodoma wote hovyo tu isipokuwa wa Chemba, mzee mmoja very humble na ni msikivu sana.
 
Na niombe walimu tulioko Chamwino hebu tujitokeze hapa na kusema ukweli dhidi ya kiongozi wetu huyu, hivi ni lini aliwahi kumfukuza mwalimu kwenye kikao? lini aliwahi kuwajibu walimu vibaya, narudia tena na tena naomba tumwogope Mungu na tuseme kweli.

Hofu ya Mungu itawale katika ndimi na mioyo yetu
 
Njoo Chamwino au tuma mtu aje huku uone mama wa watu alivyo mpole na mstarabu
 
Jikite kwenye hoja kuliko kazi uliyojipa ya kupulizia KINYESI pafyum aliyeombwa kufanya uchunguzi ni waziri mwenye dhamana ya elimu sio marehemu bibi yako kenge mweusi wewe.
 
Hakika umenena vema
 
Powerful comment!
 
Umbwa we wewe ndiyo mnafiki Wa kiwango cha juu na nidhamu yako ya kujipendekeza na unafiki,unakumbuka aliwahi kufukuzwa ofisi moja nyeti ulipoenda kupeleka majungu kuhusu tenda za wazabuni dhidi ya afisa mmoja hivi jikite kwenye hoja ufanywe uchunguzi kama huyo unayemtetea hana tatizo shida iko wapi?
 
Mtu mwenye madaraka anaeweza kukujibu "Kafie mbele huko...afterall kila mtu atakufa" mtu wa aina hii unaona ni mtu timamu kweli au ethics za kazi huzijui?

She belongs to the streets anytime from now ajiandae. Wacha hili bango limfikie mkulu tuone kama hio kinga ya Professor flani itamsaidia.

Wanawake aina hii ukichunguza hata mume hawezi kuwa nae kabisa.
 
Komenti nyingi hapo juu ni za kumlalamikia Tabia zake ,.

Ni meseji MOJA tu iliyomtetea.
Pitia Comments hapo, Zote zimeandikwa na watu ambao wako switched kufanya hiyo kazi na wanafahamika
Bad enough Mmoja wa hilo kundi la kumlalamikia kasoma nae enzi hizo (binafsi nimeanza nao kazi serikalini miaka ya nyuma kidogo, wote nawafahamu vyema.. huyu dada na mmoja wa washambuliaji.) And I can connect the dots,..
Hakuna jipya hapo.
Wamemshindwa kwenye kasoro za utendaji, wamekuja kumpakaza huku.
 
Nimefanyanae kazi vizuri tu hapa Kongwa, na kaenda huko chamwino akitokea hapa.
Kwa ninavyomfahamu, hayuko hivyo anavyoandikwa!
 
Mtoa mada unapanic tena??
Na matusi juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2923]
Mungu akusaidie tu!
 
Baadhi ya walimu Wana majungu Sana.
 
Yaani Mwamfupe bado hajaacha tabia yake hiyo!? Daaaah mzee atafia kwenye viuno vya wanawake huyu
 
Daaah hapa umesema kweli.. Yaani huyu ni tabu mnoo.... Tuna mradi tunafanya yaani kawa ni kipingamizi kikubwa sana... Mmmmh niishie hapa

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…