Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

Wivu tu!
 
Na wewe kampe tiGo huyo Prof ili umpore
 
Ni wajibu Wa kila mtanzania kuwa mlinzi Wa taifa letu pendwa.
 
Kuna Afsa Elimu mmoja hivi wilaya fulani nimeona pia amefanya ujinga mwingi wakati wa kupokea walimu wapya kwenye wilaya yake.Naendelea kumfatilia labda alipitiwa,Kama ndo tabia yake basi ATAJUA HAJUI.
 
Hako kajinga kanaitwa lotto kanatumia lID ya lotto3 kanajitahidi kubadili ID bila umakini ni mratibu elimu kata ya Buigiri ni puppet Wa hao wajinga

 
Poleni sana walimu chapeni kazi, ila punguzeni tamaa mnaongoza kutapeliwa Q NET
 
Unaandika kama umesoma memkwa! Huwezi kumshawishi mtu yeyote kwamba umesoma na huyo afisa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…