Baada ya mneseji hizi chache, nimeshaelewa uko kiwango gani.
Mimi ni Mkulima wa parachichi hapa Njombe. Usileta mambo ya mitandaoni ambayo kila mtu anajiandika. Kwani Lipumba siyo profesa mbombezi?
Naomba nami nikufahamu wewe ni nani? Maana hapa sasa unaanza kuleta mambo ya walimu wa vyuo vikuu wanapofundisha mwaka wa kwanza. Be careful! Tupo graduates tuko mikoani tunalima na tunafahamu mbombezi ni nani na feki ni nani!
Hujamuelewa huyo jamaaBaada ya mneseji hizi chache, nimeshaelewa uko kiwango gani. Kwa kuthibitisha hilo hebu tujadili vigezo unavyotumia kulazimisha kwamba huyu profesa ni mbombezi. What exactly, do you think, is the indicator of his intellect?
Who are you to say ulimkagua?Kwamba nisilete mambo ya mitandaoni ambayo kila mtu anajiandikia ππ?
Kulikoni kunikasirikia hivyo? Kwa sababu nilichukua wakati kumkagua huyu bwana nikadhani background yake?
Au ulitaka nikukague wewe? Kwa sababu ya hicho ki avatar uchwara chako?
Hiiiiii bagosha!
Baada ya mneseji hizi chache, nimeshaelewa uko kiwango gani. Kwa kuthibitisha hilo hebu tujadili vigezo unavyotumia kulazimisha kwamba huyu profesa ni mbombezi. What exactly, do you think, is the indicator of his intellect?
Hujamuelewa huyo jamaa
Still writing illogical!Kwamba mbobezi ni wewe basi ndugu ππ?
Usitake ncheke.
Credentials zake huyu zinasema ni mbobezi. Tunatambua pia kuwa kwa kuwa aliwahi kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali, hakukosa:
1. Ujuzi kamili uliohitajika kwa kazi hii
2. Human resource yote aliyohitaji ya kusaidiana naye
3. Vifaa vyovyote alivyohitaji
Unaelewa sababu ya background check sasa?
Ripoti ya Vinyesi vya Ng'ombe mto Mara haishawishi
Zaidi sana tuko huko pia.
Kujimwambafy tabia zenu bakini nazo. Sisi yetu ni kuchambua mambo. Si zaidi wala si pungufu.
Habari ndiyo hiyo.
Who are you to say ulimkagua? Can we trust your personal assessment as a yardstick of someones quality? Don't mislead JF's good analytical minds based on your non-seriousness behaviour!
Akawadanganye wanasiasa...Wana science tunaongozwa na moral pamoja na ethicsTanzania ya Magufuli haikuwahi kuishiwa vituko mkuu.
Ndiyo kisa ikabidi kujikita kwenye background check kwanza kabla ya kumuibukia mzima mzima kumnanga.
Niliyoyakuta huko ikabidi kuwa mpole kwanza.
Ninakazia, mdogo mdogo. Profesa CV imeshiba kweri kweri.
Tutamweza Huyu? Huyu si wa nyungu wajomba.
Watu wanazo citations mpaka 2000 lakini wengine bado wana walakini....Uki publish na mtu mwenye sifa duniani hizo citation ni kama tu kuona wasanii wanapata likes ngapi...Msiwe obsessed na mambo ambayo yana subjectivityMkuu angalia namba ya publications na hata citations:
View attachment 2157939
Utakosa hofu hapo?
Kumvaa peku peku si inaweza kulinganishwa na fundi baiskeli wa kijiweni, kujaribu kumnanga scientist wa NASA kwenye mambo ya janga za juu?
Ni hapo mkuu ndipo nilipokikwaa kisiki. Kwa hakika nilikuwa nimempania kweri kweri.
Ndipo nikadhani ni heri tungewasikia wabobezi wengine nao wanasema je kabla ya kina sisi kuanza kuanika kutokujua kwetu?
Ni hayo tu mkuu.
Still writing illogical!
Kisha Prof. Akawarusha kwenye wetlands kwa ndege ambako anajua huko lazima atawaokota wasiojua science...Tukumbushane Kuwa kabla ya kuingia kwa uekezaji mkubwa wa madini ardhi kubwa katika eneo hilo ilikuwa ikitumika kwa kilimo na ufugaji zaidi, hicho kipindi ndicho mto mara ungekuwa na concentration kubwa ya vinyesi katika mto Mara na viunga vyake ikiwemo moto Tingite lakini haikutokea Hivyo.
Je ni kwanini Tatizo hili linatokea wakati kuna uchimbaji mkubwa wa madini katika eneo hili ambapo kwa watu wa eneo hili hatuna mifugo mingi ukilinganisha na kipindi cha nyuma?
Lakini hii imekuwa ikitokea baada ya shughuli za uchimbaji kupanuka zaidi katkika maeneo hayo.
Kiufupi tumepigwa.kwasababu utafiti wa awali walisema kuna mafuta. Na mafuta nikitu kinacho onekana kwenye maji kwann wamesema mikojo .naomba utafiti wa Mto Mara urudiwe kwa usalama wa afya za watu
View attachment 2158021
Akawadanganye wanasiasa...Wana science tunaongozwa na moral pamoja na ethics
uBora wa jalalani,Unadhani watakua na ubora gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kuna wataalamu wa bonde, kwanini iundwe tume wakati kuna chombo chakushughulikia hayo mambo na inafanya management ya mabonde yote including kuangalia issues kama hizo?Boss, tulia sana! Huyu siyo mkemia. Hana sifa ya kuitwa mkemia. Miaka yote alisifika kwa kutengeneza mapipa ya kuchonea uchafu, yeye akiyaita incinerator. Yote yalishaoza. Nafasi ya mkemia mkuu alipewa kwa upendeleo wa wazi, bila sifa.
Hili la samaki ni jambo la mazingira. Profesa huyu hana sifa hiyo na kwa tamaa ya kusikika, alikubali jukumu hilo. Yaonekana Waziri hakuhitaji ukweli maana chombo cha kitaifa ni NEMC. Kwa nini aunde tume nje yaofisi yake? Huu ndo uzembe wa uongozi. Tunaishia kuandikiwa ripoti duni kama hii.
Nimekusoma, thanks!Tambua msingi wa hoja.
Hadi sasa tunafahamu kuwa huyu bwana si reja reja, hakukosa wasaidizi wala vifaa:
Ripoti ya Vinyesi vya Ng'ombe mto Mara haishawishi
It appears to be typical means to justify the end.
Hili ni la msingi sana...Watu wakikosa trust na science itakuwa kama era ya COVID19 tenaKwa hakika wasomi wabobezi katika field hii wangejitokeza haraka kusafisha hali ya hewa.
Ingependeza wao kupinga au kuiunga mkono ripoti kwa hoja nzito nzito za kitalaamu.
Hasa hasa kwa pale UDSM ambako ni wajibu wao kukilinda Chuo. Kwani hili jina jalalani halipendezi.
Hili ni la msingi sana...Watu wakikosa trust na science itakuwa kama era ya COVID19 tena