Nimekusoma, thanks!
Ila madhara atakayoyasababisha kwenyw science kutoaminika ni makubwa sana,
Yes, anatokea Sumbawanga huyu jamaa, tulikua nae kipindi fulani nikiwa UDSM.Huyu Prof,nadhani ndiye huwa akifika kwao,anafikia loji hadi anasepa,kule Msanzi,Sumbawanga,au nimechanganya?Kama niyeye,sijui anatumiaga theory ipi kufanya hivyo,anyway.... tumeipokea ripoti kwa hisia tofautitofauti.
Mkuu, anaweza kuwa kama Kabudi, ama Chief JusticeBackground check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:

Mkuu, anaweza kuwa kama Kabudi, ama Chief Justice
Ni shida sana!Kwa hakika wasomi wabobezi katika field hii wangejitokeza haraka kusafisha hali ya hewa.
Ingependeza wao kupinga au kuiunga mkono ripoti kwa hoja nzito nzito za kitalaamu.
Hasa hasa kwa pale UDSM ambako ni wajibu wao kukilinda Chuo. Kwani hili jina jalalani halipendezi.
Currently ni Chemical and Process engineering DepartmentBackground check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Leo hii ikiwa ni department ya Chemical and Mining Engineering Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Ni shida sana! Niko kwenye group ambalo lina maprof kutoka SUA chuo kinachojielewa wamegoma kuikubali hiyo report! Hii sasa ndiyo ilitakiwa kuitwa kama alivyosema Tundu Lissu kwamba ni professorial rubbish! Wasomi wa Tanzania ni hopeless kabisa, yaani hata yule mkurugenzi wa Bodi ya Bonde la Ziwa Victoria ameshindwa kuwasaidia kuungana na kile walichobaini mwanzoni?
Currently ni Chemical and Process engineering Department
Bado ripoti yake ina ukakasi.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo Department kwenye shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Inanikumbusha kichekesho kimoja ndugu walimpekua mgonjwa hospitalini akiwa mahututi.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo Department kwenye shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Mnaopinga ripoti yake kuhusu mto Mara na nyie toeni yenu sio maneno tu.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo Department kwenye shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Hahaaa ati le profeseri kutokea pale jalalani. Hatari sana
Teh teh teh 😂😂...kumvaa msomi kama huyu tena kwenye fani yake lazima ujipange haswa....lasivyo utaonekana kituko tu.Hadija Kopa hana uwezo wa kufanya background check kabla ya kumvaa mtu.
Nilikuwa nimedhamiria kumvaa huyu professor lakini tofauti na ambavyo Hadija Kopa angefanya, nimefanya background check kwanza.
Matokeo yake nikakikwaa kisiki, nikashindwa. Ninadhani ningependa kupata inputs zaidi kwanza.
Vipi wewe unazo?
Umeiona tofauti yangu na model wako uliye mtaja ilipo?
Wewe unayemtetea uwezo wako ni kama wake wa kuhongwa hela kubadili ripoti.Background check zinaleta mrejesho huu muhimu:
Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Atakuwa angalipo kwenye hiyo Department kwenye shule ya Uhandisi Jalalani hapo.
View attachment 2158001
Prof. Samuel Manyele alikuwa Mkemia Mkuu wa Serikali katika serikali ya Rais Kikwette na pia mwanzoni mwa serikali ya JPM.
Kwa highlights hizi ninashawishika kwenda mdogo mdogo kuhusiana na ripoti yake.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Prof. Samuel Manyele yumkini hawezi kuwa mtu reja reja kama tulio wazowea kutokea jalalani.
Mnaopinga ripoti yake kuhusu mto Mara na nyie toeni yenu sio maneno tu.