Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kuna baadhi ya mambo unaweza kuelewa ila siyo kwa Geita, Mbeya ninaijua vizuri ilikuwa maendeleo imbalance, kuna wilaya za pembezoni zilikuwa hazikumbukwi, ila tangu mgawanyiko angalau kuna tofauti kidogoHizo Wilaya zilitoka wapi? KUna watu ni wapuuzi tu! Wanaongeza mzigo kwa nchi na kusababisha watu kutengana. Hata wilaya zikifika 100, eneo ni constant, haliongezeki.
Mkoa kugawanywa nikufanya watawala waweze kufika kwa muda na kusikiliza kero za wananchi kirahisiMaeneo yote ya utawala nchi hii ni makubwa.
Mkoa ukiwa na ukubwa kiasi gani ndio unagawanywa?
Mkoa wa geita hawana mamlaka ya kumlazimisha mkuu wa nchi atumie fedha za umma kwenye mambo yasiyo na tija kwa umma.
Chato haina sifa ya kuwa mkoa maana chato ni kiwilaya sawa na kibondo au ukerewe
Hayo ni mawazo yaliyopitwa na wakati ; siku hizi kuna maendeleo ya technology hakuna sehemu isiyoweza kufikiwa kwa wakati!!!Mkoa kugawanywa nikufanya watawala waweze kufika kwa muda na kusikiliza kero za wananchi kirahisi
Jibu mada iliyokuwa mezani, masuala ya mboga sio pahala pake.Hivi alishamalizaga ile hela ya mboga?
Mama atatoa ngoma juani.....atawapa kupisha kelele sukuma gang
Hizo Wilaya kusahaulika ni ubinafsi na ukabila tu! Ukishasema hivyo, itakuwa ni sababu ya kuikata biharamulo kutoka Kagera. Wahaya hawajawahi kuiona kama ni wilaya inayostahili kuwa sehemu ya Kagera. Huyo Tibaijuka anajifanya ujuaji wa kizembe tu maana ndo wanaoongoza ku-despise wilaya wanazoziona eti siyo za wahaya halisia. Ngara, Karagwe wote wanaonekana kama wacahafuzi wa mkoa wa Kagera machoni mwa akina Tibaijuka. Ni sawa na akina Mbowe wanaposema Kilimanjaro wanawaona wapare kama wavamizi.Kuna baadhi ya mambo unaweza kuelewa ila siyo kwa Geita, Mbeya ninaijua vizuri ilikuwa maendeleo imbalance, kuna wilaya za pembezoni zilikuwa hazikumbukwi, ila tangu mgawanyiko angalau kuna tofauti kidogo
Eneo linafikisha vipi 20,000 Sq Km? Ardhi inatanuka? Si yanakatwa maeneo mengine kwa mianajiri gani?Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Kwa hiyo chato imefikia vigezo hivyo au siyo.Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Jibu hoja wewe jingaHivi alishamalizaga ile hela ya mboga?
Kwahiyo Butihama ni mkoa?Vigezo vipo, kigezo kikubwa Ni kwamba anatoka rais...
Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.
Dar na Kilimanjaro hazina hiyo km za mraba.Huyu Prof anapotosha. Ili mkoa uanzishwe kuna vigezo vya kisheria ya TAMISEMI aende akasome. Bahati nzuri alishiriki kutunga sheria hiyo mwaka 2014. Kwanza eneo lazima lifikie ukubwa wa 20,000 square km, pili idadi ya wakazi ifike asilimia 15 ya wakazi wote nchini .Na mengine miundo mbinu siyo kigezo kikuu japo kinachangia ktk kufanya maamuzi. PROF AMUACHE HAYATI APUMZIKE.