Mkoa wa geita hawana mamlaka ya kumlazimisha mkuu wa nchi atumie fedha za umma kwenye mambo yasiyo na tija kwa umma.

Chato haina sifa ya kuwa mkoa maana chato ni kiwilaya sawa na kibondo au ukerewe
Mbowe anawalazimisha wabunge kuchangia sehemu ya mishara yao umehoji!
 
Wewe naona hata huelewi chochote kuhusu ugawaji wa mikoa. Geita haina mamlaka ya kukataa au kukubali kuhusu kugawa mkoa. Wao wanachofanya ni kutoa mapendekezo tu.
 
Mkoa wa geita hawana mamlaka ya kumlazimisha mkuu wa nchi atumie fedha za umma kwenye mambo yasiyo na tija kwa umma.

Chato haina sifa ya kuwa mkoa maana chato ni kiwilaya sawa na kibondo au ukerewe
Mbona pale kwenu Nanguruwe zamani ilikuwa Ntwara!
 
Tibaijuka hana umri mkubwa?
Huo utakuwa mkoa. Sisi wa Ngara na maeneo hayo tunaelewa maana ya Chato kuwa mkoa. Tunaelewa maana ya wilaya kadhaa kuunganishwa pamoja ukapatikana mkoa mpya.

Wengi humu wanapinga kwa sababu ya kupinga mengi aliyokuwa akiyafanya hayati JPM, wanazo hoja za kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
 
Chato haina sifa hiyo na hata uwanja wa ndege pale zilitumika fedha za watanzania vibaya.
We mburula huna akili, umebakia kutafuta mabwana humu Jf. Pumbavu kabisa.
 

Ngara ya wapi upo wewe wakati mla furu tu wa hapo chato? Kifupi mlivyokula vinatosha acheni wengine nao wale...

Zamu ya wengine now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…