🤔🤔🤔PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.
Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission yake hata kama sisi wanaCCM tunayo yetu ya kumpinga. Sasa je aachie ngazi kwani kaikamilisha?
Je Nyerere angeachia ngazi mapema hili Taifa lingeimarika? Hivo mimi nadhani tunahitaji elimu zaidi ya uraia kutofautisha uongozi wa Vyama na uongozi wa nchi”
Prof Anna Tibaijuka (@AnnaTibaijuka) ameandika haya kwenye moja ya group la WanaCCM!
Kuna nyakati huwa inakuwa vigumu kujuwa kwa nini wana CCM wengi humfagilia Mbowe zaidi. Nadani kuna jambo mahali.Ni makada wa CCM wameamua kufanya vituko tu wakishirikiana na mchungaji Msigwa
Kwa sasa kwa ccm Bora mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema kuliko lissu, huo ni ukweli.Ccm wanajua namna ya kucheza na mbowe wanammudu.Kuna nyakati huwa inakuwa vigumu kujuwa kwa nini wana CCM wengi humfagilia Mbowe zaidi. Nadani kuna jambo mahali.
Ina maana CHADEMA ya Mbowe siyo tishio sana kwa CCM?
Ni lazima patakuwepo na sababu maalum ya kuwepo kwa hali hiyo!
CCM wanasema wameshinda kwa 99% sijui kwanini wanahangaika na walioshinda kwa 1% 😀😀😀.Ni makada wa CCM wameamua kufanya vituko tu wakishirikiana na mchungaji Msigwa
Chama ni watu na viongozi ni watu wanaotekeleza mission ni watu kama nyie mnavyoimba mapambio ya mama yenu.Kwenye uongozi wa chama Kuna mission ya mtu binafsi au ya chama?
Sidhani kama CCM wanamfagilia Mbowe. Ameshapewa kesi za ugaidi, ameshawahi kuharibiwa biashara zake, ameshawahi kufungiwa akaunti zake za benki na ameshapigwa na vibaka hadi akawa anatembelea magongo.Kuna nyakati huwa inakuwa vigumu kujuwa kwa nini wana CCM wengi humfagilia Mbowe zaidi. Nadani kuna jambo mahali.
Ina maana CHADEMA ya Mbowe siyo tishio sana kwa CCM?
Ni lazima patakuwepo na sababu maalum ya kuwepo kwa hali hiyo!
Legitimacy crisis.CCM wanasema wameshinda kwa 99% sijui kwanini wanahangaika na walioshinda 1% 😀😀😀.
Kwahiyo ndio umejibu hoja yake, uvccm mna vituko.Ameishiwa huyo bibi, wakati wake umepita