Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna hoja hapo?!! Nyumbu wa mbowe bwanaKwahiyo ndio umejibu hoja yake, uvccm mna vituko.
Umeona ee?!! Nyumbu wa mbowe wamefurahi wenyewe eti wanaona kaupiga mwingi hapo. Kweli nyumbu wameishiwa mipango........Nasikitika kuona mpaka Profesa ameathirika na program ya NATIONAL IMBECILEZATION
She is too low for this
Jadili hoja acha upuuzi.Kwani Kuna hoja hapo?!! Nyumbu wa mbowe bwana
Toa ujinga wako hapa. Eti kada wa ccm, hovyoooo. Wewe unaweza kukubali kukaa ndani kwa miezi 08 tena kwa kesi ya kusingiziwa ya ugaidi kwa kuwa tu ni chawa au kada? Hii thinking ya kijinga namna hii mnaitoa wapi?Vyama vingi vilianzishwa si ili kushika madaraka ya hii nchi bali kuonyesha dunia kuwa tuna demokrasia lakin kiuhalisia nchi ni ya chama kimoja. Hata huyo mbowe ni kada wa ccm aliepewa kazi ya kuongoza chama cha upinzani. Kwa hiyo tibaijuka anajua hiyo siri ndo maana anamtetea mbowe dhidi ya vijana ambao wana nia ya upinzani kutwaa madaraka.
Mbowe hawez kutoka kwenye kile kiti na akitoka atahakikisha anamuandaa mtu atakaefuata nyayo zake.
Reffer historia ya chadema na historia ya upinzani?
Nadhani 'kumejaa wajinga' haitoshelezi kuelezea CCM ni nini ikizingatiwa wamebaki madarakani hadi leo. Mjinga hawezi hili. Ni kujitia upofu na kuwapa nafasi ya kuendelea na mambo yao. Mojawapo ya uhalisia ni kwamba kwa Tanzania CCM ndio 'deep state', kwamba ni lazima 'DOLA' ibakie kwao na kwamba 'umma sio waajiri wa dola hiyo'CCM kumejaa wajinga, hivyo prof. Tibaijuka na mzee Warioba wanapata taabu sana kuendana nao.
Hata mwenyekiti wao mnamuonaje? Kuna kitu anajuwa yule?
Mkuu, mission huwa/huanzishwa na mtu, lakini pale kikundi ama chama inapoikubili mission hiyo basi huwa ni ya kikundi ama chama.Kwenye uongozi wa chama Kuna mission ya mtu binafsi au ya chama?
Mkuu, hapo ndipo UJINGA unapo jipambanua miongoni mwaoCCM wanasema wameshinda kwa 99% sijui kwanini wanahangaika na walioshinda kwa 1% 😀😀😀.
Ukiona hivyo ujue wanatamani Mbowe aondoke ili aingie kiongozi dhaifu anayeweza kurubuniwa.Hahaha ma CCM yatakasirika kwanini anatoa msimamo kumtetea Mbowe wa chadema.
Chama anachozungumzia ni Chadema siyo hicho ulichokikariri wewe.PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.
Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission yake hata kama sisi wanaCCM tunayo yetu ya kumpinga. Sasa je aachie ngazi kwani kaikamilisha? Nyerere angeachia ngazi mapema hili Taifa lingeimarika?
Hivo mimi nadhani tunahitaji elimu zaidi ya uraia kutofautisha uongozi wa Vyama na uongozi wa nchi."
Prof Anna Tibaijuka (@AnnaTibaijuka) ameandika haya kwenye moja ya group la WanaCCM!
wahame tu kama wanapata shida mbona vyama vipo vingi kwani lazima wabaki ccm?CCM kumejaa wajinga, hivyo prof. Tibaijuka na mzee Warioba wanapata taabu sana kuendana nao.
Hata mwenyekiti wao mnamuonaje? Kuna kitu anajuwa yule?
huyo mbowe ndiyo dhaifu anachelewesha wenzakeUkiona hivyo ujue wanatamani Mbowe aondoke ili aingie kiongozi dhaifu anayeweza kurubuniwa.
Excellent.Legitimacy crisis.
Msigwa amechoka kama kipande Cha sabuni lkn anajikaza amekula vya watu lazima avitumikieNi makada wa CCM wameamua kufanya vituko tu wakishirikiana na mchungaji Msigwa
Naona mnajarobu kujusty udictator w mbowePROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.
Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission yake hata kama sisi wanaCCM tunayo yetu ya kumpinga. Sasa je aachie ngazi kwani kaikamilisha? Nyerere angeachia ngazi mapema hili Taifa lingeimarika?
Hivo mimi nadhani tunahitaji elimu zaidi ya uraia kutofautisha uongozi wa Vyama na uongozi wa nchi."
Prof Anna Tibaijuka (@AnnaTibaijuka) ameandika haya kwenye moja ya group la WanaCCM!
Faida mojawapo ya kusoma na kuelimika ni kuwa na uwezo wa kutoa maoni kwa uhuru! Profesa katoa maoni ya kisomi.PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.
Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission yake hata kama sisi wanaCCM tunayo yetu ya kumpinga. Sasa je aachie ngazi kwani kaikamilisha? Nyerere angeachia ngazi mapema hili Taifa lingeimarika?
Hivo mimi nadhani tunahitaji elimu zaidi ya uraia kutofautisha uongozi wa Vyama na uongozi wa nchi."
Prof Anna Tibaijuka (@AnnaTibaijuka) ameandika haya kwenye moja ya group la WanaCCM!
Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.