Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kawapiga Sukuma gang kunako penueweHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
uzuri wa kila kitu ukutane nacho kwanza ndo utajua kuwa kwann kanga ana manyoyaHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
katika siasa hakuna elimu ni uwezo wa kushawishi tu basiAlidhalilishwa sana na yule 'mungu mtu' na yule bwana 'mburuza miguu'
Taaluma yake ndio ilikuwa inaongea lakini kwa hao wawili walitawaliwa na ujinga
Anayekagua fedha za Sweden, Finland na Norway kwenye mradi wowote huku Tanzania ni ASSAD!Na bahati mbaya sana kwake HARUHUSIWI kikatiba kuajiriwa na taasisi yoyote inayokuwa audited na CAG!
Sasa mkuu ndio iwe mtu msomi na degree zako za uchumi kutwa unakesha kumuwaza Marehemu...kweli jamaniTatizo letu kila jambo la kusemea nchi,anaeongea anaonekana na chuki binafsi,hiviii nani anapaswa kuiongelea Tanzania tukawa na Amani nae?
Daudi mfalme,wakati anampiga Goliath, Saul alimsifia sanaa,kijana mdogo ameweza kuwapa ushindi.
Lakini alipoanza kumkosoa kuhusu namna anavyotawala,akawa adui wa nchi. Tukitaka kufanikiwa kama nchi ni vyema tujifunze kumsikiliza mtu nini anaongea kuliko kuangalia wapi ametokea. Tanzania ni yetu sote.
Sukuma gang at work. Yule mungu wenu alikuwa chiziHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Kichuguu,Hiyo CV umeirudia mara kadhaa ukidhani ni kubwa sana bila hata kuangalia scholarship content yake.
Consultancy report ni sehemu ndogo sana ya scholarship kwani ni matumizi ya standard knowledge katika kutoa jawabu ya swala lililopo mezani. Ingekuwa kila consultancy report ni sifa kuu ya scholarship ya mtu basi consultant engineers wote duniani wangekuwa na sifa zaidi ya Assad kwani ndiyo kazi zao za kila siku.
Uandishi wa vitabu kwa kufanya compilation ya information ambayo tayari ipo duniani ila kwa kutumia ama lugha rahisi au kwa kuipangilia vinginevyo pia ni sehemu ndogo tu ya scholarship.
Scholarship inapimwa kwa contribution ya new knowledge, ambayo inaweza kufanywa kwa kutumia papers au monographs ambapo content yote ni mpya. Vitabu ulivyoonyesha hapo vyote ni compilation ya known information na wala havifikii sifa ya kuwa research monograph.
Iwapo Assad angewa ni scholar mkubwa kama unavyota kuaminisha umma, asingekaa kuwa Senior Lecturer wa UDSM kwa miaka 11 katika institution ambayo hupandisha vyeo kila baada ya miaka mitatu, na kutumia miaka 10 kupata doctorate kutokea Masters degree. Yeye ni mtu wa kawaida tu.
Mama mteue Assad awe Balozi au mwenyekiti wa BodiHata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona alidhalilishwa sana.
Atajiumiza bure mtu mwenyewe aliyefanya hivyo ni Marehamu so a-move on tu maisha yaendelee asikunjane moyo.
Kwanini akose mafao yake. Ha kutaka kutoka ofsini. Hawez kosa mafao..Aliharibiwa kazi yake na mafao yake mnataka acheke na nyani.
Profesa ana hasira alichofanyiwa na hayati Magufuli, ana nongwa fulani akiona kama vile alinyanyaswa na kudhalilishwa, hajaweza kusamehe.Siyo kweli kwamba anaweza kupata kazi popote ingekuwa hivyo angeshasepa, hawa watu huwa mnawa overrate sana.
Kwa hali ya kawaida kama kweli ni Profesa na amebobea kwenye fani yake angerudi Chuoni kufundisha na Chuoni simaanishi Tanzania ni oversees lkn siajabu hana credentials za kupewa chair popote na ndio maana anajibizana na kusutana kila siku hana kazi ya kufanya hata tu kuandika vitabu vya fani yake hafanyi, yuko soo petty kama mtoto!
Nimepiga hesabu ya US Dollar 1 = TZ Sh. 2300. Hivyo 42000 X 2300 = 96,600,000/=. kwa mwezi. Halafu anaendesha IST!!!!!Anayekagua fedha za Sweden, Finland na Norway kwenye mradi wowote huku Tanzania ni ASSAD!
Avarage kwa mwezi anapa around 42,000 USD! Kwa hii hela hawezi kuwa na nja
Siyo kweli. Kuna scholars kama akina profesa Mawenya (jina lake ni Awadh Mawenya), Professor Shivji (jina lake ni Issa Shivji), na Professor Haroub Othman ambao walikuwa na clear scholarship records kuliko hiyo uliyoleta hapa; wote hao ni Waislamu. Infact Issa shivji ndiye aliyepiga critic kubwa sana kwenye professorial inaugural lecture ya Professor Kighoma Ali Malima. Siyo kila jambo tuliangalie kwa dini ya mtu. Dini ni imani ya mtu binafsi, siyo institution ya kitaifa. Mimi nikiwa UDSM Engineering nilikuwa na marafiki wengi sana ambao ni waislamu na wala walikuwa hawatumii dini zao katika kazi na mahusiano yao; in fact nakumbuka wawili waliishia kuoa wanawake amabao ni wakristo.Kichuguu,
Unajua politics za Tanzania unapokuwa Muislam?
Ikiwa wewe ni mkweli hutokosa kujua kuwa nchi ina tatizo kubwa inapokutana na watu wa aina ya Dau, Assad na Njozi.
Mimi nimeanza kukuuliza uthibitishe ulichodai. Thibitisha.Na wewe thibitisha kinyume chake. Leo tutapingana humu ingawa sote ni wamoja. Maana hata mimi nilipata mwaliko kama wako kuwa tuje mtetea kwa ile ID yangu nyingine.
Kichuguu,Siyo kweli. Kuna scholars kama akina profesa Mawenya (jina lake ni Awadh Mawenya), Professor Shivji (jina lake ni Issa Shivji), na Professor Haroub Othman ambao walikuwa na clear scholarship records kuliko hiyo uliyoleta hapa; wote hao ni Waislamu. Infact Issa shivji ndiye aliyepiga critic kubwa sana kwenye professorial inaugural lecture ya Professor Kighoma Ali Malima. Siyo kila jambo tuliangalie kwa dini ya mtu. Dini ni imani ya mtu binafsi, siyo institution ya kitaifa. Mimi nikiwa UDSM Engineering nilikuwa na marafiki wengi sana ambao ni waislamu na wala walikuwa hawatumii dini zao katika kazi na mahusiano yao; in fact nakumbuka wawili waliishia kuoa wanawake amabao ni wakristo.
Are u suremzanzibar mwenzie
Hivi hana pesa hata milion 250 hana?Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.