Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa


Wanaopanda Ndege wanajua alifanya nini! Wewe mjinga endelea kuusikiliza maneno matamu lakini matokeo zero!
 
Kuna watu wao wanafikiri katiba mpya ndio kila kitu katika nchi ambayo katiba iliyopo haiheshimiki.
Juu ujinga unaitwa Katiba mpya ni kichekesho hata hii ya sasa utekelezaji wake umetushinda! Badala ya kufundisha uzalendo kwa taifa tunahangaika na ujinga unaitwa Katiba mpya! Katiba ni mwandishi kama yalivyo kwenye vitabu vya dini bila kuyatekeleza ni kelele tu! Katiba ya kugawana vyeo! Taifa limejaa wajinga akitokea mzalendo zinaanza kelele anaudikteta! Unafiki unafiki!
 
inamaana katiba mpya ipunguze nguvu na
kinga ya raisi kustakiwa kama akifanya madudu akiwa madarakani .
 
Mtu anapotoa ushauri sio lazima utekelezwe.

Kwahiyo kusema mtu hashauriki wakati ana uhuru wa kupokea au kutopokea ushauri ni kumnyima haki ya kufanya maamuzi.
Pro.anamaanisha Udikteta nawewe na Fuvu lako lilivyo gumu umeshindwa kumuelewa Ha ha ha
 
Kama vile Lissu alivyomchambua Nyerere mkamjia juu anamsema vibaya baba wa taifa?
Lisu mwenyewe brabra nyingi tu! Saizi dishi lishayumba! Upumbavu wake ndo matokeo yake! Hata mkwe wake hawezi kumgonga! Kila kitu anajifanua unajua kama ilivyo huyu Assad!
 
Dikteta alikuwa ni mtu hatari sn
 
Hapo kwenye taasisi imara ndiyo penyewe
 
Mtu anapotoa ushauri sio lazima utekelezwe.

Kwahiyo kusema mtu hashauriki wakati ana uhuru wa kupokea au kutopokea ushauri ni kumnyima haki ya kufanya maamuzi.
Nadhani issue siyo kushaurika ila ni kuheshimu katiba, kuheshimu sheria , kuheshimu rules of engagement, kujenga utamaduni wa demokrasia.
 
Pro.anamaanisha Udikteta nawewe na Fuvu lako lilivyo gumu umeshindwa kumuelewa Ha ha ha
Hilo ndilo lilolokuvutia wewe

Mimi lilolonivutia ni hilo na ni moja wapo ya mambo aliyoyazungumzia.
 
profesa naye atenganishe muda wa smile na kuuchuna. mimi siku zote namuona akiiuchna tuu!
Akiuchuna hatakosa kusikika na akikosa kusikika hatakosa uteuzi, kwasasa hamekosa Raha zote zakuwa kiongozi unajua ukizoea Raha na starehe yakuwa na cheo kikubwa ghafla ukinyangwa bila kutarajia lazima roho ikuume Kwa kukosa huduma za kutembea duniani kwa pesa za wajinga, viongoz wetu hawa wezi kuishi Kwa Raha nafuraha bila kwenda Ulaya na Marekani. Si unaona kikwete wa miaka sita iliyopita siyo kikwete sasa Leo kikwete anaweza kutembea Ulaya muda wowote akitakita na hakuna wakumnyima pesa.
 
Kwa lugha nyepesi "je uwezo wa Watu Kuisimamia katiba mpya upo?" Kama tunao uwezo tutafaidika sana na katiba mpya, lau kama hatuna watu wa kusimamia na kuitekeleza kinaweza kuwa kiroja!
Si mlisema Katiba mpya ndio muarobaini nyie au?

Kwa taarifa yenu South Africa,Kenya na Uganda Wana Katiba mpya tena nzuri ila upigaji na upuuzi mwingine uko pale pale..

Aliwashauri Bob Wine mkajua anawazingua unless Katiba mpya ni daraja la kuingiza wanasaiasa mafisadi wa huko Upinzani madarakani.
 
Kwa hiyo wizi wa Sasa unafanywa na taasisi sio? Kwani tatizo la Tanzania ni Rais au maana naona kila mnachoongea mnasema Rais
 
Magufuli alikuwa kiongozi mzuri?
 
Hapa Tzn yatabadilika maandishi ila sio hulka za watu πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwani mie hiyo Katiba yanisaidia nini? Hainiongezei kikombe cha kahawa wala karanga
 
Ili tuendelee tunahitaji wananchi wenye uthubutu wa kuwashughulikia viongozi ili viongozi wawatumikie wananchi.
Kwa sasa viongozi wanafanya wanalotaka kwa udanganyifu kuwa ni maslahi ya uma.
Kinyume chake viongozi wataunda syndicate ya upigaji na kulindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…