Unataka kubishana na Prof Assad, kwa kutumia google daaah fanya hivi kukata mzizi wa fitna tutajie masharika ya ndege ambayo walinunua ndege cash?Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Mkuu huyu asikuumize kichwa na 'Research Uchwara' yakeKitu ambacho ujamwelewa ni kuwa kwa inchi maskini kama Tanzania kununua ndege kwa Cash ndio ukichaa...
Haliwez kuelewa hilo ni moja ya mazombie yakeKitu ambacho ujamwelewa ni kuwa kwa inchi maskini kama Tanzania kununua ndege kwa Cash ndio ukichaa...
Nina imani atalitolea ufafanuziRipoti inaonesha CHADEMA kuna madudu, mwenyekiti atauluzwa?
Hapana mkuu, una hasira sana ila una point nzuri sana,Yani bora limeenda tu na halirudi tena. Ingewezekana kabla ya kuzikwa wangechukua sampuli za ubongo wake waende maabara kupima na kutafiti jamaa liliumbwaje na kuwa natabia ya hovyo na ya kukera ili asije kutokea Rais mwengine wa hovyoooooooo.
Assad ana chuki binafsi?!!!Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi...
Kuna ubaya wa kuwa na chuki binafsi kwa maslahi mapana ya taifa????Assad ana chuki binafsi?!!!
Hahahaaa, haya yamesumbua sana haya, mtu anawafungua waTanzania na kuwakumbusha kuwa kama Nchi tuna shida sehemu fulani, akiwa na lengo la Nchi ifate utaratibu.Haliwez kuelewa hilo ni moja ya mazombie yake
Ndio maana najaribu ku question uwezo wako wa akili.Walioko subuleni kwa baba yako,pumbafu ww.Ni lini bunge lilipitisha budget ya kununua mindege,ambayo haikufuata utaratibu wa manunuzi?Nyie ni mazombie yake,endeleeni kuabudu huo mzimu wenu maana hata muubiriwe vipi sio riziki kwakua aliwapa ulaji mmefutuka mithili ya mighulube ya Mbeya
Mambo ya taifa hayanaga chuki binafsi!Kuna ubaya wa kuwa na chuki binafsi kwa maslahi mapana ya taifa????
Mkuu, I understand, nakuelewa ulivyoiweka na nakubaliana na wewe.Kitu ambacho ujamwelewa ni kuwa kwa inchi maskini kama Tanzania kununua ndege kwa Cash ndio ukichaa...
Ulipokuwa unamshabikia jiwe akifanya udhalimu dhidi ya wote waliokuwa against na mitazamo yako, hukujua anakosea?Tuliomuondoa akili ni wengi na wenye akili. Majuha kama nyie mnashabikia tu hamkuona kama amekosea.
Itakua Dunia ya kwenu huko vijijini.Umeshawahi kuishi nje au unaropoka tu.
Kuanzia simu,gari,nyumba na n.k kasoro msosi asilimia 90 ni kulipa kodogo kidogo ndio maana unashangaa dada yako wa ulaya kuona kakutupia picha whatsapp hana miliki ndinga kali kumbe kulipa kidogo kidogo tena kwa mkopo
Dunia nzima kwa nchi zilizo endelea hakuna cash na wanaogopa ni kosa
Mama anakumbushwa mambo ya misingi na kuepuka ujinga tulioufanya miaka kadhaa iliyopita, wewe unakuja na na makande sijui ya wapi unaropoka ujinga ujinga,Professor , naomba utulie mama afanye kazi yake . Mama ataendekeza kazi aliyoanza marehemu sasa sijui utasemaje !
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mimi kukataa alichokisema Professa haina maana kua nilikua ama namshabikia Hayati Magufuli.Ulipokuwa unamshabikia jiwe akifanya udhalimu dhidi ya wote waliokuwa against na mitazamo yako, hukujua anakosea?