Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hizo degrees zake azipeke zinakohitajika zaidi: tafiti za kitaaluma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa, Ila degree 9 si mchezo, Kuna watu wanapenda kusoma asee.
Nyie ndiyo wenye tabia ya kumpa sifa mtu mpaka afeSina chuki naye hata chembe na sijasema hajui, ila sio GURU. Yes, inawezekana kabisa kuwa wewe unamfahamu vizuri ila mimi nakwambia kwa uzoefu nilivyofanya naye kazi (enzi hizo akijiita Dr hata kabla ya kuhitimu. He's good but not guru.
Kuna maswali mengine unagundua huyo mtu nonsenseWewe nawe?mpaka abaitwa Professor bado hujaona PhD ilivyomsaidia?wewe nawe ni Professor?
Kwa hiyo tunataka spika empty headed Kama msukuma na tuliaTunahitaji Spika na sio Academician.
Jpm alikuwa anaangalia Kwanza unatoka pande ipi ya Tanzania na Ni kabila gani. Ukiwa nusu k.uma tu Basi umeulaTatizo ccm ina wenyewe,huyu hawezi toboa labda ingekuwa enzi za Jpm
Miaka 54-55 umri umeenda? Dah!!Mpoki umri umeenda kwa nini aiwaachie akina Daktari Msukuma hii kazi.
Hana hata moja. Haya nenda kacheze kidali po!!M
Maza ana degree ngapi?
Mnyakyusa wa kkNi kabila ganii
Bob makaniHuyu mwamba kweli,amenikumbusha wasomi waliokuwa na degree nyingi Marehemu Tutemeke Sanga mbunge wa Makete na Robert Mugabe Raisi wa Zimbabwe.
Mpoki umri umeenda kwa nini aiwaachie akina Daktari Msukuma hii kazi.
Hakuna kitu gani unamfahamu?Huyu hakuna kitu
Amesema ana degree 9 siyo PhD 9 bwana!Ndio amesema na anazo
Sifa kubwa nayomjua ana utu na nyeupe kwake ni nyeupe hapepesi!Bro
Jamaa kapiga kitabu ila kwenye uongoz kuna sizan kama anafit
Uspika wa bunge ni entry level post, haina uhitaji wa uzoefu wa kazi. Hao kina Zungu umetoa sifa zao kwa kuwa wamekua wenyeviti nk (umeona kazi zao) hawa wengine haujui kama wana hizo skills za uongozi au la (ingawa sio takwa la kisheria) sababu hujawaona kwenye kiti. Wakipata uSpika ndio utajua kama wanaweza au la. Ni pre-mature kuwaondoa hao wengine kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu wa kaziNadhani nafasi ya speaker ni zaidi ya degree, you need people skills too.
Zungu anaweza kuwa speaker mzuri kushinda wasomi wengi anayo hiyo skill ya kuwa mkali inapobidi, kuwa mpole, kuacha hoja chungu kwa serikali kuibuliwa, kusoma mood za wabunge and so forth...