Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Sina chuki naye hata chembe na sijasema hajui, ila sio GURU. Yes, inawezekana kabisa kuwa wewe unamfahamu vizuri ila mimi nakwambia kwa uzoefu nilivyofanya naye kazi (enzi hizo akijiita Dr hata kabla ya kuhitimu. He's good but not guru.
Nyie ndiyo wenye tabia ya kumpa sifa mtu mpaka afe
 
Muongo mkubwa eti ana advanced diploma ya tax kutoka IMF
 
Ha ha ha! Mpeni kabisa huyu, kabla umshawishi kwa hoja bungeni itakua shughuli.
 
Mpoki umri umeenda kwa nini aiwaachie akina Daktari Msukuma hii kazi.
1641961277932.jpg

Hajavuka 55
 
Nadhani nafasi ya speaker ni zaidi ya degree, you need people skills too.

Zungu anaweza kuwa speaker mzuri kushinda wasomi wengi anayo hiyo skill ya kuwa mkali inapobidi, kuwa mpole, kuacha hoja chungu kwa serikali kuibuliwa, kusoma mood za wabunge and so forth...
Uspika wa bunge ni entry level post, haina uhitaji wa uzoefu wa kazi. Hao kina Zungu umetoa sifa zao kwa kuwa wamekua wenyeviti nk (umeona kazi zao) hawa wengine haujui kama wana hizo skills za uongozi au la (ingawa sio takwa la kisheria) sababu hujawaona kwenye kiti. Wakipata uSpika ndio utajua kama wanaweza au la. Ni pre-mature kuwaondoa hao wengine kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu wa kazi
 
Back
Top Bottom