Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Huyu siyo talented bhana Ana tumia akilinza watu kachawi haka kajamaa
Hiki Kiingereza chako Kibovu, cha kutia Aibu na Kilichokuaibisha ulichokurupuka na Kujitutumua Kukiandika / Kuniandikia 'Wordsmith" Mimi GENTAMYCINE cha "Otherwise these is absolutely rubbish" ulijifunzia wapi Pumbavu Punguwani Mmoja Wewe?

Cc: jiwe angavu na Division One
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu.

Pili.
Maji mtu anakunywa kutokana na uzito wake.

Ni kweli lita 5 ni nyingi mnoo, lakini lita 2-3 inabidi tunywe kwa siku kwa mtu mzima.. hapo factor ya kazi(kuutumikisha mwili) tumeweka pembeni.
Ukweli
 
Kwani we unakula chakula wakati gani?
 
Mimi sio mtaalamu wa afya. Lakini nadhani lita tano ni nyingi mno. Ila lita moja nayo ni kiasi kidogo mno unless uwe kwenye mikoa yenye baridi ambapo mwili wako unakuwa haupotezi maji mengi kwa jasho. Kunywa lita 2 mpaka 3.
 
Maji yanaongezwa flouride ama chlorine ambazo si nzuri kwa afya
Flouride ni nzuri sana ila ikizidi ndio mbaya

Watu wa baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro, Arusha na maeneo yote yenye maji yenye flouride wana mifupa na meno imara na hawana matatizo ya mifupa tofauti na sehemu zingine

ILA flouride ikizidi ndio inaleta rangi kwny meno pamoja na matatizo mengine

Watu wengi wanafikiri flouride pekee ni mbaya
 
Litre 5 kwa siku ni nying lakin kunywa maji mengi ni kuimarisha afya hilo halipgwi sababu hata ukinywa tu maji mwili wenyewe unauskia kbs namna unavoreact mzee vtu vingne sio vya kudanganyana bana.
 
Back
Top Bottom