Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Waliionja!!!mbao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliionja!!!mbao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Waliimaliza pale pale ukumbini!Waliionja!!!
Mkuu umenifanya nicheke Sana, Ila nikapata kijiswali, Kwa nini unaogopa Vya kwetu kuvitangaza?Kama ni kweli, basi hii serikali yote ya Magufuli ni visebengo!
Makubwa mbona wanakimbilia hospitalini kwenye mitungi ya oxygen😀😀😀😀😀😀😀Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Mpango inawezekana aliitumia ndo maana akasavaivu...UPUUZI MTUPU! Dawa ya COVID kutoka Tanzania mbona Mpango hakupewa? Mbona Shariff Hamad hakupewa?
Taifa litamkumbuka huyu profesaPalama gamba kabudi ni mzalendo wa tatu baada ya magufuli
Wa kwanza ni mwl NYERERE.
Naona JPM karithi... Maana mpaka nae akubali kitu ujipangeMzungu mpaka akubali kitu lazma ajiridhishe vya kutosha sio kienyeji kienyeji tuu. Au unadhani huko Ulaya kuna Chattle?
Habari hiyo anayo lakini maadili ya kazi yake hayataki aseme hivyoProfessor Kabudi una habari kuwa Moshi Mayor aliwavua madiwani barakoa kabla ya kikao kuanza?
Hata Ufaransa kuna Wasukuma ambao si Wafaransa ndo aliweza kuelewana nao maana kama maPhD wenzake, Prof Kingereza kimempita upande, Kifaransa ndo sifuri kabisa, Wafaransa lazima wanamshangaa kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi iliyokuwa Koloni ya Waingereza. Ufaransa hakuna Mfaransa mjinga hata mmoja atayepokea dawa ya ugonjwa wowote kutoka Chato hata ikipitishiwa kwa Wasukuma wanaoishi Paris. Watanzania wajifunze lugha za Kimataifa wawe wa kimataifa!Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.
Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Imetambulishwa tu hakuna data zilizotolewa kuhusu hiyo dawa imesaidia wangapi, waliosaidiwa wana umri gani, ina mafanikio ya asilimia ngapi, na hatujaambiwa mpaka sasa inasaidia waliopata huo ugonjwa au ambao hawajapata Covid. Kwa ujumla ni Kinga au Tiba.Jealous is like a sand in your eyes,it can stop your eyes from seeing clearly,Covidol and Bupiji were all introduced in Tanzania,but as you are full of negativity to your government, you heard not.
Wampe waziri mpangoJealous is like a sand in your eyes,it can stop your eyes from seeing clearly,Covidol and Bupiji were all introduced in Tanzania,but as you are full of negativity to your government, you heard not.
Hiyo covidol ndio ile yenye mchanganyiko wa pilipili kichaa tano au?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.