Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

Chadema wanajidharau sana aiee!

Wanaamini hawawezi kufanya chochote isipokuwa mzungu tu.

Hizi akili ndio maana yule mgombea wao baada ya dili la urais kubuma akaona hawezi kuishi tz maana keshazoea kwa wazungu.
Unajua huko mbele inabidi tufanyeyje? Ili kudhibiti ubora na sustatinability ya vyama vya upinzani, inabidi tuje tuongeze kipengele kwenye Katiba, kwamba kila inapofikia muda wa Uchaguzi Mkuu wapinzani wanapokuwa wananadi ilani zao za uchaguzi, kila chama kiwaeleze wanachi angalau objective moja, ambayo kitaitekeleza bila kukosa, ndani ya miaka mitano ijayo iwapo tu chama hicho hakitafanikiwa kuchukua dola. Kwamba vyama vya upinzani ambacvyo havitafanikiwa kuchukua dola, angalau navyo vitoe ahadi kwa wananchi ya nini vitanya ndani ya miaka mitano ijayo, kwa mfano kama:

"Sisi CHADEMA, ndani ya miaka mitano ijayo tutajenga angalau kilomita moja ya barabara kwa kiwango cha lami, au vyumba 200 vya madarasa ya shule za Sekondari na/ Msingi, mahali popote pale ndani ya JMT.

Na ahadi hii watatakiwa kuja kuisema kama waliitekeleza au hawakuitekeleza kwenye kinyang'anyiro kinachofuata watakapokuwa wanomba ridhaa nyingine tena kwa wanachi kwa mara nyingine kwenye uchaguzi unaofuata.

Hii ni kwa sababu vyama vya upinzani kwa umoja wao, au kama chama kimoja kimoja hawashindwi kujenga angalau vyumba kadhaa vya madarasa ya shule za msingi, au kilomita moja au hata 10 tu za barabara kwa kiwango cha lami, ndani ya miaka mitano.

Kwa hiyo Kikatiba wanatakiwa wapewe majukumu ya aina hiyo ili nao wawe na kazi nyingine ya kufanya nje ya ile ya kukosoa Serikali tu pamoja na kukaa wanaorodhesha matatizo yaliyopo pasipo wao kushiriki kwa vitendo zaidi katika kutatua matatizo hayo.

Vyama vtakavyoonekana kutetereka katika kutekeleza majukumu kama haya, basi vitafutiwe namna nyingine kwa sababu vitakuwa havistahili kuwepo kutokana na ukweli kwamba uwepo wake utakuwa hauna tija yoyote kwa Taifa na hibvyo kwa wananchi wote wa JMT kwa ujumla
 
Ile aliyoifuata Madagascar na ndege yetu hajaibeba?
Angeonekana mjinga zaidi maana Madagascar ilikuwa Koloni ya Wafaransa na bado wako wengi tu wanaishi huko kwa hiyo wangekuwa wa kwanza, kabla ya dege letu toka Chato, kujua kuwepo kwa dawa hiyo.
 
Hawa ndiyo wanatufanya Watanzania wote tuonekane hamnazo.

Kweli Profesa mwenye akili timamu anaweza kubeba juice iliyochanganywa na pilipili ambayo haijanyiwa uhakiki wowote, halafu akaenda kuitangazia Dunia kuwa Ni dawa ya kutibu Corona?

Ilifanyiwa majaribio wapi wakati ninyi hamna wagonjwa wa corona?
 
Kuna sehemu nimeona inauzwa hiyo dawa na watu wanainunua kweli kweli hasa wazee👀
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Aulizwe sasa hiyo dawa iko wapi
 
Unafikiri wao ni kama nyie mlivyoipokea na kuikubali ile chachandu ya Madagascar?
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Sio Covidol tuu, zipo nyingine kadhaa na ziinafanya vizuri sanaaa, ukipata changamoto we sema utaelekezwa zinapatikana wapi! Amkeni Amkeni Dawa za Covotanxa, Bingwa, Planet++, na kujifukiza kama Bupiji, Udanol, na UZIMA, ziinafanya kazii vizuri mnoo, usisubiri kuwekwa kwenye mitungi ya oxygen, pambana mapema unapopata dalili tuu, hizi Dawa zita kuokoa, kutohamia futi sita mapema!
 
Chanjo ya China na ile ya Urusi hao WHO na USA FDA walishakataa kuzitambua (approve). Hata hii dawa yetu ya Covido tulishawapelekea wakakataa kuipa approval bila hata kuifanyia utafiti. Sisi tunaendelea na ipo siku wataona ukweli wake. Kabudi kawapa wafaransa, bila shaka wataifanyia kazi na kuwaonesha ulimwengu maajabu ya hiyo Tz Covido. Tuvute subira, watatutambua tu.
kaka FDA ni shirika la dawa na chakula america.
hawana mendate ya kukataa dawa duniani.
FDA wana operate ndani ya america. so na dismiss point yako.
pili lini covidol ilipelekwa katika internatinal level research kufanyiwa uchunguzi wakaikataa?
 
Sio Covidol tuu, zipo nyingine kadhaa na ziinafanya vizuri sanaaa, ukipata changamoto we sema utaelekezwa zinapatikana wapi! Amkeni Amkeni Dawa za Covotanxa, Bingwa, Planet++, na kujifukiza kama Bupiji, Udanol, na UZIMA, ziinafanya kazii vizuri mnoo, usisubiri kuwekwa kwenye mitungi ya oxygen, pambana mapema unapopata dalili tuu, hizi Dawa zita kuokoa, kutohamia futi sita mapema!
wataifanyia research kwanza kuona kama inafaa.
 
UPUUZI MTUPU! Dawa ya COVID kutoka Tanzania mbona Mpango hakupewa? Mbona Shariff Hamad hakupewa?
Wewe unajua Mpango na wengine walipona kovid kwa kutumia dawa zipi?

Kwa taarifa yako takwimu zinaonyesha kwamba kila watu elfu moja wanao ambukizwa KOVID ni mtu mmoja tu anaye kufa i.e 0.001%, Afrika kwa mfano: watu wanakufa kwa Malaria zaidi kuliko KOVID, malaria inaua 0.013% ya population kila mwaka tofauti na KOVID, KOVID hipo kweli lakini hatari yake inakuzwa mno na Big Pharma Companies zinazo zalisha chanjo, wanajuwa kwamba kwa kuwa WHO wamekwisha declare kwamba KOVID ni pandemic hivyo Dunia nzima inapashwa kudungwa sidano zao za chanjo watu watake wasitake, makumpuni hayo yamechukua advantage hiyo kupiga hela ndefu wakitumia msm za magharibi kueneza taharuki kote Duniani.

All in all, ukweli wa mambo unabaki kwamba KOVID haiui kivile. Watu wanaugua KOVID kweli lakini asilimia kubwa wanapona, unlike Malaria.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.

Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia wengi.

Prof Kabudi alitoa chupa ya dawa ya covido na kuitambulisha kwa wenyeji wake ambao waliipokea na kuipongeza Tanzania kwa hatua hiyo kubwa waliyofikia

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo dawa haiuwafaa Marehemu Maalim Seif & Balozi Kijazi?.
M
situchanganye!
 
Uchaguzi wa Dawa huwa unamhusu Daktari anayemtibu mgonjwa au mgonjwa mwenyewe kwa kiasi fulani, na uhusika wa Ndugu zake mgonjwa kwa kiasi fulani, kwahiyo kama hakukuwa na Kundi mojawapo hapo ku influence matumizi ya hio dawa, huenda wote hawa kuitumia, uliza waliowahi kuitumia utapata majibu kuntu ya hio dawa!
 
Wewe unajua Mpango na wengine walipona kovid kwa kutumia dawa zipi?

Kwa taarifa yako takwimu zinaonyesha kwamba kila watu elfu moja wanao ambukizwa KOVID ni mtu mmoja tu anaye kufa i.e 0.001%, Afrika kwa mfano: watu wanakufa kwa Malaria zaidi kuliko KOVID, malaria inaua 0.013% ya population kila mwaka tofauti na KOVID, KOVID hipo kweli lakini hatari yake inakuzwa mno na Big Pharma Companies zinazo zalisha chanjo, wanajuwa kwamba kwa kuwa WHO wamekwisha declare kwamba KOVID ni pandemic hivyo Dunia nzima inapashwa kudungwa sidano zao za chanjo watu watake wasitake, makumpuni hayo yamechukua advantage hiyo kupiga hela ndefu wakitumia msm za magharibi kueneza taharuki kote Duniani.

All in all, ukweli wa mambo unabaki kwamba KOVID haiui kivile. Watu wanaugua KOVID kweli lakini asilimia kubwa wanapona, unlike Malaria.
sorry kuna variations hapa. si nchi zote wanaugua na kupona kirahis.
kwa wenzetu wao wanakuwa hit sana kutokana na hali zao za kiafya.
kwa nchi za africa its otherwise.
 
Back
Top Bottom