Lissu alipinga mno zile ripoti huenda aliona kasoro ila akahukumiwa kumiminiwa risasi.
JokaKuu Tindo Mag3 zitto junior
Huenda Lissu hakuwa mbali sana na ukweli.
JokaKuu Mag3 zitto junior Nguruvi3 Tindo Pascal Mayalla
Ndugu yangu, hizi siri zisizo na tija kwa taifa ndizo zinazolididimiza na kuliangamiza taifa letu na viongozi wetu hujificha ktk siri hizi.Unajua huyo Mzee amekiuka kiapo chake Cha Baraza la Mawaziri, hakutakiwa kusema hayo Kwa kuwa yangekuwa nje ya kiapo chake.
Unajua Mzee Edo pamoja na kuambiwa mara kadhaa kusema kuhusu Richmond yake iliyomuondoa hakuthubutu kufungua kinywa chake kusema licha ya watu wengi kuhisi ameonewa.
Huyo Mzee wa Jalalani nahakika Angekwepo JPM asingesema hata mara moja
Ndugu yangu, hizi siri zisizo na tija kwa taifa ndizo zinazolididimiza na kuliangamiza taifa letu na viongozi wetu hujificha ktk siri hizi.
Na hii Ndiyo tofauti ya siri za taifa letu na siri za nchi zilizoendelea.
Ni kwamba kwa kiongozi sahihi anapaswa kutunza siri iliyo na maslahi kwa taifa na siyo siri ya uovu wa kiongozi mwenzake na ikumbukwe kama kiongozi akiharibu huwajibishwa kiongozi na siyo serikali.
Ila inapotokea kiongozi akaficha siri ovu kwa kutekeleza matakwa ya mkubwa wake hadi wananchi wakang'amua, hapo ndipo serikali hupopolewa na pengine kiongozi kuwajibishwa vikali.
Yuko sahihi, ni sawa na mfanyabiashara anayeweka cha juu ili ukija kulia akupunguzie bei bado usishuke chini ya target yake, muhimu ijulikane hicho kilichopatikana hapo hata kama kidogo, bado hakikutegemewa kupatikana.
kwa hiyo hata kumpiga risasi lisu hawakukosea?Itambulike tu, hii biashara mwanzo haikuwepo kabisa, ilikuja kama njia ya kutupoza kutokana na kupigwa kwenye mikataba, na nikiangalia vile tunavyopigwa na wazungu kwenye mikataba yetu, bado naona waliochofanya hawakukosea.
Kama ndivyo tunalo tatizo kubwa, maana tunajiuliza wanafanya haya kwa maslahi gani?Mbinu hii imetumika hata kwenye Mafuta, hii bei tunayouziwa sasa ndiyo ilikuwa target yao, walipandisha mpaka yakakaribia kufika sh 4000, watu wakalalamika sana. then wamerudi kwenye target yao.
Daadeq... Hawa kina Kabudi na wale maprofesa wenzie walijua kuchezea sharubu za mwendazake....wala siyo billions 700...hiyo billions 700 wamepata billions 58 tu inayolipwa kwa installments nyingine wameambiwa itaanzisha kampuniya twiga na nyingine kufanya miradi ya kijamiii
Kama ndivyo tunalo tatizo kubwa, maana tunajiuliza wanafanya haya kwa maslahi gani?
Pamoja na kuwa na mbinu hii iliyopitwa na wakati na isiyo na tija, walipaswa kuona umuhimu mkubwa wa mambo ya kimataifa.
Haya ya kwetu tutaombana msamaha yataisha, ila haya ya kimataifa na kuuwa wakosoaji wa hadaa ni upotofu uliopitiliza
Sawa dada....Kwanini uonekane kilaza ikiwa hata hiyo bil 700 hukutegemea kuipata?
Mimi nakuona wewe ndie kilaza.
TL alikuwa sahihi na kama alivyosema Tindo sisi wananchi wa kawaida tulijua ule ulikuwa uongo mkubwaLissu alipinga mno zile ripoti huenda aliona kasoro ila akahukumiwa kumiminiwa risasi.
Huenda Lissu hakuwa mbali sana na ukweli.
Hilo neno ndiyo liliwakoseha wale viumbe uvumilivu na kujibu hoja.Mara paaaaap,zikarushwa risasi!Triiiii taap...tiii..taaap taaap!Pwankalakachaaaa!Professorial rubbish...Tundu Lissu
Tena Kabudi aliwahi kusema '' Degree yangu nimeazimwa, nikiitumia vibaya wataichukua''..Prof alipaswa kusema yalikuwa madai ya UONGO.
..kuna UONGO mwingine kuwa tutagawana na Barrick 50/50 ya faida / economic benefit.
..Kabudi atoke hadharani na kukiri na kutubu kuwadanganya Watanzania.
NB:
..Kabudi akawaangukie Lissu na Mzee Alute, kwani aliwahi kusema amesoma na ni rafiki wa Mzee Alute.
Achukuliwe hatua ikiwemo kujitafakari kukaa nje ya benchKauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
======
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
Hawa ndio wale kunguni. Amepita level ya chawa.Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".
======
- Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
- Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
- Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
- Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.
Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
Hawa ndio wale kunguni. Amepita level ya chawa.
Kama mtu ana weza mdsnganya hata Rais wa nchi huyu ni kunguni
Mkuu, uzi nilioquote haukuwa unazungumzia uprofesa kama kiashiria cha IQ, ulizungumzia kuwadharau maprofesa wa Tanzania. Sasa sijui umereply kwa kuelewa content, ama kwa vile nawe huna vigezo vya kuufikia uprofesa?Acha uongo. Uprofesa sio kiashirii cha IQ.
Ni sahihi usemacho, lakini tangu maovu hayo ya Richmond, Epa, IPTL n.k kuwekwa bayana Kuna hatua yeyote imechukuliwa na Wananchi kuiwajibisha Serikali yao au Serikali kuwawajibisha Wanaohusika na kulitia Hasara Taifa?Ndugu yangu, hizi siri zisizo na tija kwa taifa ndizo zinazolididimiza na kuliangamiza taifa letu na viongozi wetu hujificha ktk siri hizi.
Na hii Ndiyo tofauti ya siri za taifa letu na siri za nchi zilizoendelea.
Ni kwamba kwa kiongozi sahihi anapaswa kutunza siri iliyo na maslahi kwa taifa na siyo siri ya uovu wa kiongozi mwenzake na ikumbukwe kama kiongozi akiharibu huwajibishwa kiongozi na siyo serikali.
Ila inapotokea kiongozi akaficha siri ovu kwa kutekeleza matakwa ya mkubwa wake hadi wananchi wakang'amua, hapo ndipo serikali hupopolewa na pengine kiongozi kuwajibishwa vikali.
Huenda ilikuwa katika utekelezaji wa 'collective responsibility'...ingekuwa vigumu na dhambi kutofautiana na serikali ambayo na wewe ni sehemu yake...hawakumdanganya Raisi.
..walilazimishwa kusema na kutetea UONGO.
..kuna kipindi, katikati ya majadiliano na barrick, Prof.Kabudi alijaribu kujiuzulu kazi ya kuongoza timu ya serikali.
..naamini Kabudi alikuwa anaelemewa na anatatizwa na ulaghai aliokuwa akilazimishwa kuutetea.
Cc MALCOM LUMUMBA
Huenda ilikuwa katika utekelezaji wa 'collective responsibility'...ingekuwa vigumu na dhambi kutofautiana na serikali ambayo na wewe ni sehemu yake.
Kumtaka aombe radhi Sasa kwa makosa ya kipindi hicho ilihali bado wengine waliokuwa naye kwenye majadiliano ni watendaji wa serikali sio sawa ni kumuonea tu.
Nguruvi3 Tindo Kiranga zitto junior
Aliyesema tunadai t360 ni tume ya Prof. Osoro siyo Kabudi, tatizo la Kabudi ni kushabikia kitu cha uongo.Uongo wa phd. T360 takriban miaka 11 nchi hailipishi tozo wala michango yoyote na inasonga.
Bora angeweka viwango viwili vya desimali.