Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

Lissu alipinga mno zile ripoti huenda aliona kasoro ila akahukumiwa kumiminiwa risasi.
JokaKuu Tindo Mag3 zitto junior

Huenda Lissu hakuwa mbali sana na ukweli.
JokaKuu Mag3 zitto junior Nguruvi3 Tindo Pascal Mayalla

..Prof alipaswa kusema yalikuwa madai ya UONGO.

..kuna UONGO mwingine kuwa tutagawana na Barrick 50/50 ya faida / economic benefit.

..Kabudi atoke hadharani na kukiri na kutubu kuwadanganya Watanzania.

NB:

..Kabudi akawaangukie Lissu na Mzee Alute, kwani aliwahi kusema amesoma na ni rafiki wa Mzee Alute.

Cc Pascal Mayalla, Nguruvi3
 
Unajua huyo Mzee amekiuka kiapo chake Cha Baraza la Mawaziri, hakutakiwa kusema hayo Kwa kuwa yangekuwa nje ya kiapo chake.

Unajua Mzee Edo pamoja na kuambiwa mara kadhaa kusema kuhusu Richmond yake iliyomuondoa hakuthubutu kufungua kinywa chake kusema licha ya watu wengi kuhisi ameonewa.

Huyo Mzee wa Jalalani nahakika Angekwepo JPM asingesema hata mara moja
Ndugu yangu, hizi siri zisizo na tija kwa taifa ndizo zinazolididimiza na kuliangamiza taifa letu na viongozi wetu hujificha ktk siri hizi.

Na hii Ndiyo tofauti ya siri za taifa letu na siri za nchi zilizoendelea.

Ni kwamba kwa kiongozi sahihi anapaswa kutunza siri iliyo na maslahi kwa taifa na siyo siri ya uovu wa kiongozi mwenzake na ikumbukwe kama kiongozi akiharibu huwajibishwa kiongozi na siyo serikali.

Ila inapotokea kiongozi akaficha siri ovu kwa kutekeleza matakwa ya mkubwa wake hadi wananchi wakang'amua, hapo ndipo serikali hupopolewa na pengine kiongozi kuwajibishwa vikali.
 
..jambo baya zaidi ni NGUVU / GHARAMA zilizotumika kutetea UONGO huo kwa miaka zaidi ya mitano.

..mtu kama Lissu ilikuwa auwawe, na sasa ni mlemavu, na kosa lake lilikuwa kusema bungeni kwamba madai ya trillion 360 yalikuwa ya uongo.
 
Yuko sahihi, ni sawa na mfanyabiashara anayeweka cha juu ili ukija kulia akupunguzie bei bado usishuke chini ya target yake, muhimu ijulikane hicho kilichopatikana hapo hata kama kidogo, bado hakikutegemewa kupatikana.

kwa hiyo ndio wakaamua na kumpiga risasi lisu
 
Itambulike tu, hii biashara mwanzo haikuwepo kabisa, ilikuja kama njia ya kutupoza kutokana na kupigwa kwenye mikataba, na nikiangalia vile tunavyopigwa na wazungu kwenye mikataba yetu, bado naona waliochofanya hawakukosea.
kwa hiyo hata kumpiga risasi lisu hawakukosea?
 
Mbinu hii imetumika hata kwenye Mafuta, hii bei tunayouziwa sasa ndiyo ilikuwa target yao, walipandisha mpaka yakakaribia kufika sh 4000, watu wakalalamika sana. then wamerudi kwenye target yao.
Kama ndivyo tunalo tatizo kubwa, maana tunajiuliza wanafanya haya kwa maslahi gani?

Pamoja na kuwa na mbinu hii iliyopitwa na wakati na isiyo na tija, walipaswa kuona umuhimu mkubwa wa mambo ya kimataifa.

Haya ya kwetu tutaombana msamaha yataisha, ila haya ya kimataifa na kuuwa wakosoaji wa hadaa ni upotofu uliopitiliza
 
wala siyo billions 700...hiyo billions 700 wamepata billions 58 tu inayolipwa kwa installments nyingine wameambiwa itaanzisha kampuniya twiga na nyingine kufanya miradi ya kijamiii
Daadeq... Hawa kina Kabudi na wale maprofesa wenzie walijua kuchezea sharubu za mwendazake....
 
Kama ndivyo tunalo tatizo kubwa, maana tunajiuliza wanafanya haya kwa maslahi gani?

Pamoja na kuwa na mbinu hii iliyopitwa na wakati na isiyo na tija, walipaswa kuona umuhimu mkubwa wa mambo ya kimataifa.

Haya ya kwetu tutaombana msamaha yataisha, ila haya ya kimataifa na kuuwa wakosoaji wa hadaa ni upotofu uliopitiliza

..Magufuli asingekufa wangeendelea kutetea uongo wao.

..Na huenda watu wengi zaidi wangeumizwa ili kuulinda na kuutetea ulaghai wa watawala.
 
Lissu alipinga mno zile ripoti huenda aliona kasoro ila akahukumiwa kumiminiwa risasi.
Huenda Lissu hakuwa mbali sana na ukweli.
TL alikuwa sahihi na kama alivyosema Tindo sisi wananchi wa kawaida tulijua ule ulikuwa uongo mkubwa
Hatukuwahi kuamini kamati za Usoro au Mruma kwasababu Dhalimu alikuwa na majibu yake mfukoni

Kilichotokea kwa TL ni kusema ukweli, walikuwa wanajua tunajua lakini isisimwe hadharani kwasababu robo tatu ya Taifa hili walikuwa tayari kuimba mapambio ! na hawajaacha hata sasa

Ni uongo kama ule wa 'dividend' kutoka ma-bank na mashirika wakati yalikuwa hoi yakikopa ili kumfurahisha
Ni uongo kama ule wa kumuondoa Prof Assad halafu Kichele anasifiwa kwa kazi nzuri wiki chache baadaye
Ni uongo kama wa kutumia fedha za ndani wakati sasa tuna madeni na ndiyo tozo hizi
Ni uongo kama ule wa Uzalendo wakati Bilioni 70 zilikwenda Mwanza hatujui zipo wapi

JokaKuu Mag3
 
..Prof alipaswa kusema yalikuwa madai ya UONGO.

..kuna UONGO mwingine kuwa tutagawana na Barrick 50/50 ya faida / economic benefit.

..Kabudi atoke hadharani na kukiri na kutubu kuwadanganya Watanzania.

NB:

..Kabudi akawaangukie Lissu na Mzee Alute, kwani aliwahi kusema amesoma na ni rafiki wa Mzee Alute.
Tena Kabudi aliwahi kusema '' Degree yangu nimeazimwa, nikiitumia vibaya wataichukua''
Sijui analipi la kusema

Kabudi atoke mbele awaombe Watanzania radhi , aiombe familia ya Lisssu radhi na ajitoe katika kamati ya mikataba huko Ikulu kwasababu hafai na amepoteza heshima na uaminifu kwa umma.
 
Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.

Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie mbinu hii ya "Uongo mkubwa wa dhahiri" kama Lissu alivyokuwa "Profesorial Rubbish".

======

  • Asema zilikuwa mbinu za majadiliano, ataja tishio la Acacia
  • Afafanua suala hilo limekwisha, atamtafuta mwigulu amweleze
  • Atamba uamzi ule umeleta heshima, faida kubwa kwa nchi
  • Asema alikosea kutumia neno jalala, asisitiza kibiblia ni sahihi.

Nukuu za Prof. Palamagamba Kabudi kwenye gazeti la leo la Jamhuri, Oktoba 4, 2022
Achukuliwe hatua ikiwemo kujitafakari kukaa nje ya bench
 
Hawa ndio wale kunguni. Amepita level ya chawa.
Kama mtu ana weza mdsnganya hata Rais wa nchi huyu ni kunguni
 
..hawakumdanganya Raisi.

..walilazimishwa kusema na kutetea UONGO.

..kuna kipindi, katikati ya majadiliano na barrick, Prof.Kabudi alijaribu kujiuzulu kazi ya kuongoza timu ya serikali.

..naamini Kabudi alikuwa anaelemewa na anatatizwa na ulaghai aliokuwa akilazimishwa kuutetea.

Cc MALCOM LUMUMBA
 
Acha uongo. Uprofesa sio kiashirii cha IQ.
Mkuu, uzi nilioquote haukuwa unazungumzia uprofesa kama kiashiria cha IQ, ulizungumzia kuwadharau maprofesa wa Tanzania. Sasa sijui umereply kwa kuelewa content, ama kwa vile nawe huna vigezo vya kuufikia uprofesa?
 
Ndugu yangu, hizi siri zisizo na tija kwa taifa ndizo zinazolididimiza na kuliangamiza taifa letu na viongozi wetu hujificha ktk siri hizi.

Na hii Ndiyo tofauti ya siri za taifa letu na siri za nchi zilizoendelea.

Ni kwamba kwa kiongozi sahihi anapaswa kutunza siri iliyo na maslahi kwa taifa na siyo siri ya uovu wa kiongozi mwenzake na ikumbukwe kama kiongozi akiharibu huwajibishwa kiongozi na siyo serikali.

Ila inapotokea kiongozi akaficha siri ovu kwa kutekeleza matakwa ya mkubwa wake hadi wananchi wakang'amua, hapo ndipo serikali hupopolewa na pengine kiongozi kuwajibishwa vikali.
Ni sahihi usemacho, lakini tangu maovu hayo ya Richmond, Epa, IPTL n.k kuwekwa bayana Kuna hatua yeyote imechukuliwa na Wananchi kuiwajibisha Serikali yao au Serikali kuwawajibisha Wanaohusika na kulitia Hasara Taifa?

Kwahiyo unakuta Viongozi ndiyo Wanaendelea kutunziana Siri Kwa kificho cha Kutotoa Siri za Baraza la Mawaziri.

Nina Imani angekwepo JPM, huyo Profesa asingethubutu kuyasema hayo. Najua saivi anapata guts za kusema Kwa kuwa ameondolewa kwenye nafasi ya Uwaziri na yuko timu tofauti na Mama
 
..hawakumdanganya Raisi.

..walilazimishwa kusema na kutetea UONGO.

..kuna kipindi, katikati ya majadiliano na barrick, Prof.Kabudi alijaribu kujiuzulu kazi ya kuongoza timu ya serikali.

..naamini Kabudi alikuwa anaelemewa na anatatizwa na ulaghai aliokuwa akilazimishwa kuutetea.

Cc MALCOM LUMUMBA
Huenda ilikuwa katika utekelezaji wa 'collective responsibility'...ingekuwa vigumu na dhambi kutofautiana na serikali ambayo na wewe ni sehemu yake.

Kumtaka aombe radhi Sasa kwa makosa ya kipindi hicho ilihali bado wengine waliokuwa naye kwenye majadiliano ni watendaji wa serikali sio sawa ni kumuonea tu.
Nguruvi3 Tindo Kiranga zitto junior
 
..Prof.Kabudi alivyotoka hadharani na kukiri kuwa walikuwa wakisema uongo ni namna moja ya kuomba radhi.

..muhimu zaidi ni kuwapa pole wote walioumizwa wakati Magufuli na Kabudi wakitetea uongo wao.
 
Uongo wa phd. T360 takriban miaka 11 nchi hailipishi tozo wala michango yoyote na inasonga.

Bora angeweka viwango viwili vya desimali.
Aliyesema tunadai t360 ni tume ya Prof. Osoro siyo Kabudi, tatizo la Kabudi ni kushabikia kitu cha uongo.
 
Back
Top Bottom